Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Mungu asajitetea mbona kupitia vitabu vyakeUpo JF ndio maana una uthibitisho kwamba upo na unaweza kujitetea mwenyewe upo
Sasa wewe unahangaika kumuongelea Mungu ambaye hawezi na hajawahi kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
Huoni kwamba una mtetea na kumuongelea Mungu Mdhaifu ambaye hayupo na Kashindwa kuja kujiongelea mwenyewe na kujitetea?
Mbona unahamisha mada sasa?Hakuna uthibitisho wowote ule unao thibitisha umri wa Dunia.
Hivyo kusema dunia ina umri ni madai tu yasiyo na uthibitisho.
Kama kila kitu lazima kiwe na starting point mbona huyo Mungu mna mu exclude kuwa na starting point?
Kama Mungu hahitaji kuwa na starting point, kwa nini unalazimisha dunia iwe na starting point?
Mada inahusu nini?Mbona unahamisha mada sasa?
ulisema Dunia ilikuepo milele,...kisha ukasema Vilivyopo ndani ya Dunia ndiyo vina umri....au sio wewe uliyesema hivyo?
Ndiyo nikakuelewesha kwamba ukishasema kitu kina umri fulani,..that means kitu hicho kina starting point, au hujui kuhusu hili?
ili uelewe usihamishe mada,...ukiruka ruka utatoka bila kuelewa kitu hapa.
Kama huyo Mungu anajiongelea mwenyewe kwenye vitabu, Mnacho hangaika kumhubiri na kumuelezea kila siku ni nini?Mungu asajitetea mbona kupitia vitabu vyake
Unachosahau mkuu ni kwamba Mungu anajiongelea mwenyewe tena kwenye vitabu
Ulichokiandika Umekisoma kweli??Surah Al-Baqarah (2:117):
"The Originator of the heavens and the earth. When He decrees a matter, He only says to it, 'Be,' and it is."
Surah Az-Zumar (39:62):
"Allah is the Creator of all things, and He is, over all things, Disposer of affairs".
So., hapo unaona wazi kwamba sio tu dunia, bali Mungu ndiye Originator wa kila kitu yaani Dunia na Ulimwengu kwa ujumla.
Ahsante na karibu kwa mtazamo tofauti.
Mimi nishawahi kuja kwako kujidhihirisha kama nipo? Si unasoma comments zangu tu?Kama huyo Mungu anajiongelea mwenyewe kwenye vitabu, Mnacho hangaika kumhubiri na kumuelezea kila siku ni nini?
Mnacho hangaika kuja hapa kumtetea ni nini?
Mbona huyo Mungu ameshindwa kuja hapa kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo?
Kwa nini huyo Mungu hatoki huko vitabuni anako jielezea kwamba yupo, Aje hapa mwenyewe ajiongelee na kujidhihirisha yupo?
Hapana, wewe ndiye huelewi kuwa dunia inajiendesha yenyewe bila kujali wanadamu wanataka nini.Nimegundua uelewa wako ni mdogo sana. Unapenda kubishana bila kujua unataka nini
Mkuu,..Nyota na Sayari zote unazoambiwa zipo fahamu kwamba zipo ndani ya Anga la Dunia.Ulichokiandika Umekisoma kweli??
Na umeelewa Swali langu..
Yeah kweli Kuna Aya Nyingi kwenye Biblia na Kwenye Quran na hata kwenyr Vitabu vingine vinavyosema kaumba Dunia na Mbingu...
Na kila kitu kilichomo Humo...
Lakini usisahau kwamba Jupiter Haipo ndani ya Dunia..
Na mars sio Miongoni mwa Dunia..
Bora ungenipa Aya inayozungumzia Buruji..
Japo buruji ina maana nyingi ukiacha Cerestial bodies..
Hakuna Dunia/World ni Tofauti na Universe ambayo unahusisha Sola system mbalimbali..
So nataka aya inaonyesha kaumbe Ulimwengu na malimwengu mengine..
Tusifanye Siasa twende kwenye Facts
Kwani wewe huwezi fanya kitu bila desa?Eti wakuu.
Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.
Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.
Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.
Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.
Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?
Naomba niishie hapo kwa leo.
NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Mimi sijahamisha mada,...nilikua nakupa shule tu kwamba haupo sahihi kusema Dunia ilikuepo milele wakati ukiambiwa uthibitishe huwezi.Mada inahusu nini?
Mada inahusu Mungu.
Wewe ndiye unajaribu kuhamisha mada.
Hata ninyi hamuwezi kusema Mungu huyo kaumba ulimwengu mpaka pale mtakapo pata uthibitisho usio na shaka.Mimi sijahamisha mada,...nilikua nakupa shule tu kwamba haupo sahihi kusema Dunia ilikuepo milele wakati ukiambiwa uthibitishe huwezi.
Sasa nadhani hutorudia tena kusema Dunia ilikuepo milele,..mpaka pale utakapopata uthibitisho usio na shaka ndani yake.
Mkuu samahani kidogo, Ulisoma Geography au hata Geophysics??Mkuu,..Nyota na Sayari zote unazoambiwa zipo fahamu kwamba zipo ndani ya Anga la Dunia.
Then, hapo kwenye hizo verses umeona kwamba Mungu ni ORIGINATOR OF ALL THINGS,...sasa kwanini una exclude Mars na objects nyingine ambazo kimsingi zipo humu humu kwenye anga la dunia na ni sehemu ya Solar system....?
Kwanini unasema Dunia ipo tu?Hata ninyi hamuwezi kusema Mungu huyo kaumba ulimwengu mpaka pale mtakapo pata uthibitisho usio na shaka.
Kwa hivyo Dunia ipo tu.
No one knows ilianzaje.
Kwa sababu hakuna wakati wowote ule ambao umethibitishwa dunia haikuwepo.Kwanini unasema Dunia ipo tu?
Yeap,. nimesoma hizo nadharia lakini nikahusisha na akili ili kufikia hitimisho..........yaani sijahitimisha kwamba kila nilichosoma ndiyo uhalisia ulivyo 100%.Mkuu samahani kidogo, Ulisoma Geography au hata Geophysics??
Au hata Science ya Elimu Ya Msingi??
Kwanini unaona haiwezekani kwa Sayari na nyota zote kuwa kwenye anga la dunia? ukubwa wa hizo sayari hakuzifanyi sayari na makundi hayo ya nyota kuwa nje ya anga la dunia bali tunaweza tu kusema kwamba kuna sayari na nyota ambazo zipo anga la karibu na anga la mbali la Dunia. yaani kuna ambazo unaweza kuona hata kwa macho na nyingine kwa msaada ya vifaa saidizi kulingana na umbali.Hivi kweli kabisa kwamba Kwenye Anga la Dunia Kuwa na Sayari zote..?
Wakati Dunia Ni sayari ya Nne kwa Ukubwa kwenye Solar system means Kuna Sayari zingine ni Kubwa kuliko Dunia..
Halafu unaniambia Kuwa Zipo kwenye Anga la dunia???
okay vizuri,..mwanzo ulisema Dunia haina umri ila vilivyopo ndani ya dunia ndiyo vina umri.........Sasa nina swali 'Umethibitisha vipi kama Vililivyopo ndani ya Dunia sasa hivi kuna wakati havikuwepo, mpaka ukasema vina umri??Kwa sababu hakuna wakati wowote ule ambao umethibitishwa dunia haikuwepo.
Ushashiba makande sioEti wakuu.
Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.
Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.
Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.
Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.
Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?
Naomba niishie hapo kwa leo.
NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini