Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Mungu asajitetea mbona kupitia vitabu vyakeUpo JF ndio maana una uthibitisho kwamba upo na unaweza kujitetea mwenyewe upo
Sasa wewe unahangaika kumuongelea Mungu ambaye hawezi na hajawahi kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
Huoni kwamba una mtetea na kumuongelea Mungu Mdhaifu ambaye hayupo na Kashindwa kuja kujiongelea mwenyewe na kujitetea?
Unachosahau mkuu ni kwamba Mungu anajiongelea mwenyewe tena kwenye vitabu