Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ulimwengu upo unauona halafu sijui unataka uthibitisho gani kwamba ulimwengu ulikuwepo?Kwahiyo wewe ile imani yako kwamba ulimwengu ulikuepo tu milele na haujaumbwa ni uongo?
Maana umeshindwa kuthibitisha.
NB:- Hiyo kauli kwamba imani mpaka pale itakapothibitishika ndiyo itakua kweli,..inakuonyesha wazi kwamba imani hiyo ilikua kweli from the start na ndiyo maana mwishoni baada ya kuwa kwenye hali na wakati sahihi imeweza kuthibitishika.
Imani ya uongo kamwe haiwezi kuthibitishika,..so kuanzia mwanzo mpaka mwisho imani hiyo itabaki kuwa ya uongo!
Ulimwengu usingekuwepo, leo hii ungeweza kuuona na kuukuta upo?
Hujathibitisha kwamba ulimwengu uliumbwa, unadai ni imani yako tu!
Mimi nakwambia ulimwengu ulikuwepo tu, unabisha halafu uthibitisho wa kwamba ulimwengu uliumbwa Huna.
Kama huna uthibitisho wa kwamba ulimwengu uliumbwa ni kwamba haujaumbwa, ulikuwepo tu.