Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

Ulimwengu upo unauona halafu sijui unataka uthibitisho gani kwamba ulimwengu ulikuwepo?

Ulimwengu usingekuwepo, leo hii ungeweza kuuona na kuukuta upo?

Hujathibitisha kwamba ulimwengu uliumbwa, unadai ni imani yako tu!

Mimi nakwambia ulimwengu ulikuwepo tu, unabisha halafu uthibitisho wa kwamba ulimwengu uliumbwa Huna.

Kama huna uthibitisho wa kwamba ulimwengu uliumbwa ni kwamba haujaumbwa, ulikuwepo tu.
 
Weka hiyo quote ya hiyo verse kwa faida ya wote
Soma Kumbukumbu la Torati 29:29

"Mambo ya siri ni ya Bwana, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii".
 
Soma Kumbukumbu la Torati 29:29

"Mambo ya siri ni ya Bwana, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii".
Kukiwa kuna maelezo kama hayo yanayozungumzia Mungu wa dini tofauti kuwa ndio Mungu wa kweli anayepingana na Mungu wa dini yako.

Je utakubali kuwa Mungu wako ni wa uongo kwasababu kitabu fulani kinachotajwa kuwa cha Mungu wa kweli kimeeleza hivyo?
 
Sihitaji kitabu chochote kingine zaidi ya Biblia kunielezea kuhusu BWANA MUNGU MUUMBA WA DUNIA.

BWANA MUNGU wa KWELI ni mmoja tu. Ndiye BABA MUNGU wa BWANA na MWOKOZI WETU YESU KRISTO. Hakuna MUNGU mwingine zaidi yake.

Amini, usiamini, hakuna kitu utabadilisha. Wewe ni kanukta kadogo sana kwenye hii dunia. Ukimkataa BWANA MUNGU, hakuna kitu unampunguzia, wala hakuna hasara atakayopata. Because you are nothing!
 
Jibu ni Rahisi, kwamba vilikuwa ndani ya moyo wake. So akatamani viwe Halisi ndipo alipoanza kazi ya uumbaji. Ndio mana ukidhamiria jambo kwa moyo wote Huwa. Moyo hupenda, moyo ni kiini na Chemi chemi ya Uzima na uhai.
Haribu vyote lakin sio moyo. So hao ndege, mbweha, samaki, simba, mijusi, wadudu, mimea, milima, mabonde bahari, vilionekana moyoni Mwa Mungu na sauti zao au za vyote kwake ni Wimbo, ndipo akataka viwe halisi akaviumba kwasiku tano, kisha Adamu siku ya sita then ya saba kastarehe. sijui nimesaidia??
 
Kwenye Uislamu Mwenyezi Mungu ana majina 99.

Moja katika majina hayo 99, lipo jina moja linaitwa AL-BADIU. Maana ya jina hili ni Mwanzilishi, Originator, Original Designer wa viumbe vyote alivyoviumba.

Mwenyezi Mungu (A-Badiu) ndie aliyebuni Blueprint ya uumbaji wote ikiwemo fikra zako pia zimeumbwa na yeye. Yeye ni mbunifu wa mwanzo wa viumbe hai na visivyo hai bila kukopi kutoka kokote kule (THE ORIGINAL DESIGNER).
 
Nadhani umefikia katika swali hili kwasababu tayari umesha-assume kwamba Mungu ndo aliumba ulimwengu. Je, vip tukianza na ulimwengu ulifanyika vip? Au tukiamua kutembea na swali lako lakin tukarudi nyuma hatua moja kabla, swali kubwa zaidi litakuwa, "Je yeye Mungu aliumbwa na nani? Au alitoka wapi". Nadhani hili ni swali msingi kwa wale ambao tulikulia katika mazingira ya familia za dini. Possibly swali ambalo kila mtoto at some point huuliza lakin hukemewa vikali na kukanywa haraka mno.
 
Aliyetengeneza gari aliona wapi ??
 
Ulimwengu upo unauona halafu sijui unataka uthibitisho gani kwamba ulimwengu ulikuwepo?

Ulimwengu usingekuwepo, leo hii ungeweza kuuona na kuukuta upo?
Kwahiyo wewe kitu chochote utakachokiona unahitimisha kwamba kilikuepo milele?

Mbona kama haiingii akilini.
 
Kwahiyo wewe kitu chochote utakachokiona unahitimisha kwamba kilikuepo milele?

Mbona kama haiingii akilini.
Nimekwambia ulimwengu ulikuwepo upo na utaendelea kuwepo milele.

Sio kitu chochote.
 
Kwanza wanatakiwa kujua Kwamba hakuna sehemu Inaonyesha Mungu aliumba Ulimwengu (Universe) mungu aliumba Dunia peke yake..

Wakuonyeshe Mungu alipoumba Ulimwengu (Universe)
Mbona zipo verses za kutosha zinazoonyesha Mungu kaumba Dunia na ulimwengu kwa ujumla..

ukizihitaji sema.. tutakuletea 🀝🏼
 
Nimekwambia ulimwengu ulikuwepo upo na utaendelea kuwepo milele.

Sio kitu chochote.
Ila kuthibitisha kama Dunia ilikuepo milele ndiyo huwezi?

Kama unaweza kuthibitisha..fanya hivyo ili mjadala uwe mfupi.
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…