Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kuna vitu vya asili ambavyo vimekuwepo milele na havina umri mfano ardhi, maji, anga, hewa, jua, mwezi, nyota n.k Hivi vitu ni sehemu ya dunia ambavyo vipo milele na havina umri.okay vizuri,..mwanzo ulisema Dunia haina umri ila vilivyopo ndani ya dunia ndiyo vina umri.........Sasa nina swali 'Umethibitisha vipi kama Vililivyopo ndani ya Dunia sasa hivi kuna wakati havikuwepo, mpaka ukasema vina umri??
Pia kuna vitu vingine vya asili vyenye umri kama wanyama, binadamu mimea, wadudu n.k ambavyo vimekuwepo milele lakini vyenyewe hupungua na kufa kadiri ya muda unavyokwenda.
Lakini huzalisha vitu vipya copy and paste ya muundo wao uleule na kuendeleza mzunguko wa kuwepo vitu hivi duniani milele.
Pia kuna vitu vingine vina umri ambavyo ni "Man-made" mfano magari, nyumba, meli, simu, ndege, kompyuta, viti, meza n.k
Vitu hivi humtegemea binadamu Avitengeneze ndipo viongezeke. Vitu hivi haviwezi kujiongeza idadi vyenyewe tu, pasipo kutengenezwa na binadamu.
ili tuone kama una consistency kwenye kujenga hoja zako......