Mungu amejibu maombi ya Watanzania, Kujifukiza katika mvuke kutawaponya wagonjwa wa corona

Mungu amejibu maombi ya Watanzania, Kujifukiza katika mvuke kutawaponya wagonjwa wa corona

Wazo Kuu

Senior Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
120
Reaction score
299
April 16/4/2020 Rais John Magufuli aliandika ujumble katika ukurasa wake wa Twitter akiwaomba Watanzania kufunga na kuomba kwa kipindi cha Siku tatu aliandika, Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.

Siku tatu baada ya Maombi Rais John Magufuli anazungumza na watanzania anakuja na majibu ya maombi ya watanzania juu ya ugonjwa wa COVID-19.

Rais Magufuli ameeleza kwamba Watanzania wajitahi kutumia njia nyingine za asili katika kupamba na magonjwa haya, na hili ameiomba Wizara ya Afya ilisisitize zaidi kama swala la kijifukizia, ambayo kisayansi mvuke wa maji ambao unakuwa na joto la zaidi ya sentigredi 100, kwasababu kirusi cha korona ni mafuta basi huyeyuka na kupasuka pasuka kwenye mvuke ambao unakuwa na joto la zaidi ya sentigredi 100.

Kwa hiyo kisayansi ni tiba (It is a scientific treatment) Wizara ya Afya waendelee kuifafanua ni namna gani swala la Kujifukizia katika Mvuke linasaidia kupunguza corona, kama wale virus wapo kwenye pua au mdomo watayeyuka tu kwa joto la juu ya sentigredi 100.

Hili halo ni kitu muhimu.
Vile vile Rais Magufuli amewataka watanzania watumie vitu kama Tangawizi, vitunguu saumu, mchaichai, Asali na Vitnywaji vya Moto.

Watanzania tunaiamini tiba hii, tunaishauri Wizara ya Afya itumie njia hii kuwatibu Ndugu zetu wanao ugua corona kwasababu Watanzania tunaamini kwamba MUNGU amemtumia Rais Magufuli Kutuambia tiba ya corona.

Wizara ya Afya msiogope kujaribu kuwatibu wagonjwa wa corona na baada ya siku tatu muwapime watakuwa hawana tena ugonjwa huo.

Chanzo/
Hotuba ya Rais Magufuli 22/4/2020 Akiwa Chato.
 
Hivi Chato kuna Ikulu? Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu, Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu, Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu, Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?
 
Wewe katika fikra zako mukulu kainama kafunikwa blanket zito jasho linamchuruzika kwa chini kuna sufuria lenye miti shamba ikipindisha mvuke.

Ila ndugu zangu tusidharau dawa za asili mababu zetu walitumia kabla ya mseto na parasetamo hazijagunduliwa na walipata nafuu.
 
HIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?
Ikulu inaongoza nchi? Yani hii nchi yetu ina mapumbavu sijui kama nini..!!! rais anaweza kuongoza nchi popote alipo ndani ya nchi yake.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
HIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?
Acha kukariri maisha
Rais anaweza kuongea hata akiwa njombe
Kwa taarifa yako kila mkoa nchi hii una ikulu ndogo.fuata maelekezo acha nongwa,utakufa
 
Ikulu inaongoza nchi?yani hii nchi yetu ina mapumbavu sijui kama nini..!!! rais anaweza kuongoza nchi popote alipo ndani ya nchi yake

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Siyo nyumbani kwake.

Ikulu ya Mkoa wa geita iko wapi?

Kuna rest houses za kutosha kuwapokea Viongozi wote wanaokuwa karibu na Rais kila siku pale Chato?
 
HIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?

Kwahiyo Rais hawezi kutoa hotuba/maelezo kama hayupo Ikulu DSM? Huu ujinga huwa mnasomea wapi.
 
HIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?
Kwani anaongoza milele? Ilitakiwa kila raisi apendelee kwao hasa kama hakuna maendeleo. Iyo ndio akili. Sasa tutaaminije utatuletea maendeleo akati nyumbani kwenu hakuna maendeleo yoyote.
 
HIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?


Chato hakuna Ikulu kuna maabara Kuu ikongozwa na Daktari Mkuu JPM
 
Back
Top Bottom