April 16/4/2020 Rais John Magufuli aliandika ujumble katika ukurasa wake wa Twitter akiwaomba Watanzania kufunga na kuomba kwa kipindi cha Siku tatu aliandika, Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.
Siku tatu baada ya Maombi Rais John Magufuli anazungumza na watanzania anakuja na majibu ya maombi ya watanzania juu ya ugonjwa wa COVID-19.
Rais Magufuli ameeleza kwamba Watanzania wajitahi kutumia njia nyingine za asili katika kupamba na magonjwa haya, na hili ameiomba Wizara ya Afya ilisisitize zaidi kama swala la kijifukizia, ambayo kisayansi mvuke wa maji ambao unakuwa na joto la zaidi ya sentigredi 100, kwasababu kirusi cha korona ni mafuta basi huyeyuka na kupasuka pasuka kwenye mvuke ambao unakuwa na joto la zaidi ya sentigredi 100.
Kwa hiyo kisayansi ni tiba (It is a scientific treatment) Wizara ya Afya waendelee kuifafanua ni namna gani swala la Kujifukizia katika Mvuke linasaidia kupunguza corona, kama wale virus wapo kwenye pua au mdomo watayeyuka tu kwa joto la juu ya sentigredi 100.
Hili halo ni kitu muhimu.
Vile vile Rais Magufuli amewataka watanzania watumie vitu kama Tangawizi, vitunguu saumu, mchaichai, Asali na Vitnywaji vya Moto.
Watanzania tunaiamini tiba hii, tunaishauri Wizara ya Afya itumie njia hii kuwatibu Ndugu zetu wanao ugua corona kwasababu Watanzania tunaamini kwamba MUNGU amemtumia Rais Magufuli Kutuambia tiba ya corona.
Wizara ya Afya msiogope kujaribu kuwatibu wagonjwa wa corona na baada ya siku tatu muwapime watakuwa hawana tena ugonjwa huo.
Chanzo/
Hotuba ya Rais Magufuli 22/4/2020 Akiwa Chato.