Mvuke unaweza kumuua kirusi kabla hajaingia mwilini.
Akishaingia mwilini huo mvuke hauna kazi tena.
Hali ipo hivyohivyo kwenye sabuni na sanitizers!
Siyo nyumbani kwake.
Ikulu ya Mkoa wa geita iko wapi?
Kuna rest houses za kutosha kuwapokea Viongozi wote wanaokuwa karibu na Rais kila siku pale Chato?
Maelekezo ya WHO au ya JPM maana kuna mkanganyiko hapo!Kama anajua tiba,arudi Ikulu aache kujificha huko mafichoni!Acha kukariri maisha
Rais anaweza kuongea hata akiwa njombe
Kwa taarifa yako kila mkoa nchi hii una ikulu ndogo.fuata maelekezo acha nongwa,utakufa
Unajua maana ya IKULU. NDOGO?HIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu, Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?
Mkuu wa nchi anaweza kuongea kutokea popote ndio maana Anaitwa Ni Amiri jeshi mkuu.acha kukariri mkuuHIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?
Wasikuelewa unachomaanisha kwenye post zako wanapata tabu sana (povu na matusi). Wanaokuelewa wanakuita na kukuhoji kwenye kamati zao.Naunga mkono hoja
P
Kinachoongelewa hapa ni matibabu ya Corona kwa njia mbadala, sio Raisi kaongelea wapi, anzisha uzi wako ili watu waendelee kujadili hizo habari za ikulu...HIVI CHATO KUNA IKULU? Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu, Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu, Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu, Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?
Safi sana mkuu..charity begin at home.aanzie kwake then mwingine. Hata Amina Gadaf, Mobutu, Bokasa, Sadam n.k walikua wameweka makwao vizuri ktk nyanja zote.thanks alot.Kwani anaongoza milele? Ilitakiwa kila raisi apendelee kwao hasa kama hakuna maendeleo. Iyo ndio akili. Sasa tutaaminije utatuletea maendeleo akati nyumbani kwenu hakuna maendeleo yoyote.
Zimejengwa kwa matumizi gani?Ikulu inaongoza nchi?yani hii nchi yetu ina mapumbavu sijui kama nini..!!! rais anaweza kuongoza nchi popote alipo ndani ya nchi yake
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Wewe ni no 1 kati yaoIkulu inaongoza nchi?yani hii nchi yetu ina mapumbavu sijui kama nini..!!! rais anaweza kuongoza nchi popote alipo ndani ya nchi yake
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
HIVI CHATO KUNA IKULU?Mkapa alikuwa anongea kutokea Ikulu,Kikwete alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Mwinyi alikuwa anaongea kutokea Ikulu,Nyerere alikuwa anaongea kutokea Ikulu wote (DAR ES SALAAM) sasa nauliza wakubwa chato kuna Ikulu?