Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Binaadamu akifika mwisho wa kufikiri huwa na kawaida ya kukopa fikra kwenye vyanzo vya kiimani. Hapo mtihani huwa aegemee mrengo upi ila mara nyingi kule kunakoonekana ndio rahisi kupata suluhu ndio wengi huelekea huko.
Hizi akili za kufukizana huenda ndicho kilichopo akilini na last hope ya Nahodha wa timu yetu ya Tanganyika Utd na utekelezaji wake umeanzia huko huko "Tocha"
Hizi akili za kufukizana huenda ndicho kilichopo akilini na last hope ya Nahodha wa timu yetu ya Tanganyika Utd na utekelezaji wake umeanzia huko huko "Tocha"