Unadhani pesa wanafanyia nini?. Au sadaka ni ndogo hazitoshi kununua V8?Shehe gani anatembea vie8 au Corora!! Ukiacha na mufti .Sisi hatuna mbambamba nyingi ukila Hela ya waumini utaitapika mapema tu.
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,Huyo maamuma ni muislam na ameandika hilo kwa lengo la kukahsfu Ukristo. Hana lolote analomaanisha zaidi ya kuukashfu.
Huyu ni muislam na lengo la uzi huu ni kuukashfu Ukristo. Nyuzi zake nyingi humu ni kukashfu Ukristo. Kama Mungu haangalii mwili, kwanini aishauri pia na Waislamu wanawake waende hivyo?Pana Wakristo wa kiroho na pana Wakristo wa kimwili
Povu ruksa ila haibadili kituJamaa flani tu mjinga mjinga umeamua kuanzisha uzi wa kitu ambacho hukijui na unaelimishwa bado umeng'ang'ana na ujinga wako.
Huyo ni maamuma.mmoja yupo chini ya shehe kipoozeo amekuja kwa lengo la kukashfu Ukristo kwa hii nyuzi yake. Kama Mungu haangalii mwili, kwanini usiaushauri na uislam wanawake wa kiislam wave hivyo?Jamaa flani tu mjinga mjinga umeamua kuanzisha uzi wa kitu ambacho hukijui na unaelimishwa bado umeng'ang'ana na ujinga wako.
Mbona hushauri Misikiti wavae hivyo? Hizi nyuzi zisizo na maana sijui kwanini mods wanazipendelea sana.Povu ruksa ila haibadili kitu
Wewe huna ujuacho unajifurahisha tu na lengo lako ni kukashfu. Kwanini wanawake wasiende msikitini hivyo au allah anaangalia mwili?Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
- sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
- Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
Mavazi ya kiislam husitiri wanawake, wacha waislamu waendelee kufuata sheria zao wanavyojijua wenyewe,Huyu ni muislam na lengo la uzi huu ni kuukashfu Ukristo. Nyuzi zake nyingi humu ni kukashfu Ukristo. Kama Mungu haangalii mwili, kwanini aishauri pia na Waislamu wanawake waende hivyo?
Mnapoteza muda kujadili huu upuuzi. Lengo la uzi ni kuukashfu Ukristo. Wenzetu upande wa pili wanaamini kuukashfu Ukristo ndio kukua kwa uislam. Hana ajuacho katika imani zote. Pole yake.Nakazia
Wakristo gani hawana sheria? Hilo la kutokuwa na sheria umelitoa wapi?Mavazi ya kiislam husitiri wanawake, wacha waislamu waendelee kufuata sheria zao wanavyojijua wenyewe,
wakristo sisi hatuna sheria tuwaache dada zetu wawe huru, zamani mama zetu walivaa viremba, hawakuvaa suruali walivaa magauni mapana yasiyowachoresha, mabinti wa saizi nao wapewe uhuru wavae wanavyotaka
View attachment 2771669
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,Wakristo gani hawana sheria? Hilo la kutokuwa na sheria umelitoa wapi?
Dhambi ni nini? Inawzekana hizi tulizokalilishwa kuwa ni dhambi mungu hazitambui kuwa ni dambi. Inawezekana tunajipiga Pini tu sisi wenyewe kwa kudhani mawazo yetu ndo ya mungu. Kwani mungu ameshashuka duniani na kuwaambia au kuwaorodheshea dhambi? Achana na hivi vitabu vilivyoandukwa kwa imaginations na watuSuala sio mavazi swala ni kuwatolea concentration waumini na kuwashawishi kwenye dhambi... Ndio maana makaaba uvaa hivyo kuwashawishi wanaume
Mimi pia...Hii mada naifuatilia kwa karibu.[emoji16]
We mvaa kobazi unalijua hilo agano jipya?Agano la kale lilipitwa na wakati, tupo agano jipya, tunakula hata kitimoto kilizokatazwa kwenye sheria za agano la kale.
Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie