Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

Shehe gani anatembea vie8 au Corora!! Ukiacha na mufti .Sisi hatuna mbambamba nyingi ukila Hela ya waumini utaitapika mapema tu.
Unadhani pesa wanafanyia nini?. Au sadaka ni ndogo hazitoshi kununua V8?

Ila wewe utakuwa mtu mdogo sana hapo unaposwali au utakuwa jinsia ya ke ambao hawajishughulishi na mambo ya utawala msikitini.

Nakupa mtihani...ila sinamaana uwatie mashehe majaribuni.

Chuku 5m yako kawapatie wajenge msikiti baada ya mwaka uje hapa.
 
Huyo maamuma ni muislam na ameandika hilo kwa lengo la kukahsfu Ukristo. Hana lolote analomaanisha zaidi ya kuukashfu.
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
- Sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.

- Sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele.

- Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
 
Jamaa flani tu mjinga mjinga umeamua kuanzisha uzi wa kitu ambacho hukijui na unaelimishwa bado umeng'ang'ana na ujinga wako.
 
Jamaa flani tu mjinga mjinga umeamua kuanzisha uzi wa kitu ambacho hukijui na unaelimishwa bado umeng'ang'ana na ujinga wako.
Huyo ni maamuma.mmoja yupo chini ya shehe kipoozeo amekuja kwa lengo la kukashfu Ukristo kwa hii nyuzi yake. Kama Mungu haangalii mwili, kwanini usiaushauri na uislam wanawake wa kiislam wave hivyo?
 
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
- sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
- Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
Wewe huna ujuacho unajifurahisha tu na lengo lako ni kukashfu. Kwanini wanawake wasiende msikitini hivyo au allah anaangalia mwili?
 
Huyu ni muislam na lengo la uzi huu ni kuukashfu Ukristo. Nyuzi zake nyingi humu ni kukashfu Ukristo. Kama Mungu haangalii mwili, kwanini aishauri pia na Waislamu wanawake waende hivyo?
Mavazi ya kiislam husitiri wanawake, wacha waislamu waendelee kufuata sheria zao wanavyojijua wenyewe,

wakristo sisi hatuna sheria tuwaache dada zetu wawe huru, zamani mama zetu walivaa viremba, hawakuvaa suruali walivaa magauni mapana yasiyowachoresha, mabinti wa kikristo wa saizi nao wapewe uhuru wavae wanavyotaka

1696423966335.png
 
Kanisani huwaga mnaenda kufanya Nini kwani? Hivi nyumbani kwenu kunawasha kiasi ambacho hamuwezi kuealia kwenu? Nani kawadanganya kwamba mungu anapatikani kwenye lile jengo tu la kupiga sadaka?
 
Mavazi ya kiislam husitiri wanawake, wacha waislamu waendelee kufuata sheria zao wanavyojijua wenyewe,

wakristo sisi hatuna sheria tuwaache dada zetu wawe huru, zamani mama zetu walivaa viremba, hawakuvaa suruali walivaa magauni mapana yasiyowachoresha, mabinti wa saizi nao wapewe uhuru wavae wanavyotaka

View attachment 2771669
Wakristo gani hawana sheria? Hilo la kutokuwa na sheria umelitoa wapi?
 
Wakristo gani hawana sheria? Hilo la kutokuwa na sheria umelitoa wapi?
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
- sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
- Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
 
Suala sio mavazi swala ni kuwatolea concentration waumini na kuwashawishi kwenye dhambi... Ndio maana makaaba uvaa hivyo kuwashawishi wanaume
Dhambi ni nini? Inawzekana hizi tulizokalilishwa kuwa ni dhambi mungu hazitambui kuwa ni dambi. Inawezekana tunajipiga Pini tu sisi wenyewe kwa kudhani mawazo yetu ndo ya mungu. Kwani mungu ameshashuka duniani na kuwaambia au kuwaorodheshea dhambi? Achana na hivi vitabu vilivyoandukwa kwa imaginations na watu
 
Hii mada naifuatilia kwa karibu.[emoji16]
Mimi pia...

Nawaza tu, hivi kahaba akiamua kwenda kanisani na mavazi yake ya kikahaba hawezi kuokolewa?

Na wewe uliyekwenda kanisani umevaa mavazi ya heshima lakini ndani ya Roho ni kahaba aliyevaa ngozi ya kondoo na ndani ni mbwa mwitu...

Na wewe ambaye umeenda kanisani ila hujaokoka Bado hujamshinda shetani na macho yako Bado yakiona kimini yanageuka, unatamaa...
 
Agano la kale lilipitwa na wakati, tupo agano jipya, tunakula hata kitimoto kilizokatazwa kwenye sheria za agano la kale.

Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie
We mvaa kobazi unalijua hilo agano jipya?
Agano jipya (Injili) haikuja kutengua torati.
 
Na sasa hivi mmeambiwa anaangalia utaratibu abariki wapenzi wa jinsia moja mtasema biblia tunaifuata sio papa muda huohuo mkionana na papa mnampiga mabusu motomoto mpaka basi,Tafuteni imani sahihi muokoe nafsi msifuate imani kisa inakurahisha na matendo yake ya kishetani nawe ukifurahisha nafsi yako.
 
Back
Top Bottom