JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Unadhani pesa wanafanyia nini?. Au sadaka ni ndogo hazitoshi kununua V8?Shehe gani anatembea vie8 au Corora!! Ukiacha na mufti .Sisi hatuna mbambamba nyingi ukila Hela ya waumini utaitapika mapema tu.
Ila wewe utakuwa mtu mdogo sana hapo unaposwali au utakuwa jinsia ya ke ambao hawajishughulishi na mambo ya utawala msikitini.
Nakupa mtihani...ila sinamaana uwatie mashehe majaribuni.
Chuku 5m yako kawapatie wajenge msikiti baada ya mwaka uje hapa.