matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI