matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #21
Hakuna mtu ambaye anamjua Mungu hatoi sadaka.Wewe bado ni mtoto mchanga kwenye kumjua Mungu,kwa sisi tunamjua Mungu hata kama haja fanya na tupatwe na lolote tunaendelea kumtumaini tuu.
Rafiki wa Mungu huwa anamgeuza Kingdom Donor chini ya donor mkuu Mungu Mwenyewe.
Mungu anapitishia kwako vitu ili uweze KUWA mkono wake wa kuwafikia watu na maslahi yake duniani. Mungu anapartinership na marafiki zake.