matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Sadaka toa, hata kama Mungu amekuelekeza huko toa.Sadaka tutapeleka wenyewe kwa Yatima na wagonjwa
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, akikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
AmeenFanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kwanini nitoe pesa kwa kitu nisichokiona wala kukisikia hakina uhalisia bora nikawape yatima tuSadaka toa, hata kama Mungu amekuelekeza huko toa.
Maana moja ya matumizi ya fungu la KUMI au zaka kibiblia ni KWA yatima na maskini
Sahihi kabisaKWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, akikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
💯 correct ✅KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, akikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
SAdaka unaitoa KWA Mwenyezi Mungu sio mtu. Watu ni wanufaika tu. Unapotoa kama unatoa KWA mtu inakuwa sio sadaka ni mchango.Sadaka gani?, ya kujimaliza na kuchangia mchungaji na ujenzi wa kanisa huku waumini masikini hawana hata baiskeli au unamaanisha sadaka ipi?
Fanya kazi acha kutegemea mserereko kijanaKWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
Afanye kazi apate pesa kama wanavyopatq wengine , kwani huyo Mungu ni kiwete?Hiyo sadaka mungu anapokea kwenye account gani?
Ama Lipa namba gani Mungu anaitumia ?
Bora uunge bando tudownload ma series makaliKwanini nitoe pesa kwa kitu nisichokiona wala kukisikia hakina uhalisia bora nikawape yatima tu
Exactly 💯 kakaBora uunge bando tudownload ma series makali
Vijana wanazidi amkaExactly 💯 kaka