matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
-
- #21
Hakuna mtu ambaye anamjua Mungu hatoi sadaka.Wewe bado ni mtoto mchanga kwenye kumjua Mungu,kwa sisi tunamjua Mungu hata kama haja fanya na tupatwe na lolote tunaendelea kumtumaini tuu.
Weka chombo tuweke sadakaKWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
Makanisa ni custodian wa sadaka.Makanisa ya kitapeli yapigwe darubuni Kali. Sadaka iende kwa walengwa wenye uhitaji mkubwa wa majitaji muhimu kwenye umasikini, afya na elimu.
USIKUBALI UTAPELI WA KIROHO.
Hapo umesema sawa kabisa. Mahali kama Pana uaminifu na uwazi wa matumizi ya sadaka ni muhimu waumini watoe kwa uwezo wao..Makanisa ni custodian wa sadaka.
Yanapaswa kufanyiwa auditing kama sadaka zinafika au hazifiki kwenye lengo. Hii kazi ni ya Serikali na internal auditors wa kanisa.
Mchungaji anapata posho yake KWA asilimia aliyoandikiwa na nyingine ziende kwenye lengo. Maana hata hicho anachofanya ni kazi
Sadaka ya kupeleka kwa wachungaji? Wanunulie V8? Stupid nenda nunua mchele peleka kwa watoto yatima ,,,nnunua vitu pelekea kaya masikini!..KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
Di kweli, Zaka / Fungu la kumi katika Biblia ilitumika kuwatunza walawi waliokuwa wakitumika hekaluni na katika masinagogi na si vinginevyo.Sadaka toa, hata kama Mungu amekuelekeza huko toa.
Maana moja ya matumizi ya fungu la KUMI au zaka kibiblia ni KWA yatima na maskini
Lipa numberHiyo sadaka mungu anapokea kwenye account gani?
Ama Lipa namba gani Mungu anaitumia ?
Hii ni moja ya matumizi. Na ndio matumizi makuu. Ila Bado maandiko yanasemaje sehemu ya hiyo zaka iende KWA Yatima, wajane na wasio na makazi ( wageni).Di kweli, Zaka / Fungu la kumi katika Biblia ilitumika kuwatunza walawi waliokuwa wakitumika hekaluni na katika masinagogi na si vinginevyo.
Kila mtu anatoa sadaka. Usipozileta kwetu walawi Bwana utapeleka KWA walawi wa kule Gizani.Acha utapeli.
Mungu anafanya kazi na watumishi wake.Lipa number
Hii hautakiwi kichanganya zako. Ni KANUNi kama law of gravity. Uikubali ikunufaishe au uipinge ubishi chini ya MADHARA ya kuikataa
Mwenye nia njema na Mungu ataelekezwa sehemu sahihi. Kabla hujatoa mifumo wa mtumaji wa mwisho wa hiyo sadaka lazima uwekwe wazi.Ni kweli kwa nyakati za Biblia ilikuwa hivyo na matokeo yalionekana! Lakini just unapeleka sadaka kwa Kiboko ya Wachawi,na Manabii/Mitume wa nyakati hizi utayaona matokeo?
Ubarikiwe sanaHakika
Asante KWA mchango mzuriBasi ni tapeli kama matapeli wengine na anaendekeza Sana njaa.