Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
Mungu hashawishiwi kwa chochote ili afanye jambo.Mungu ni mwema na mkarimu kwa watu wema na wabaya pia.Hayo mambo cjui mpe mchunhaji utabarikiwa ni utapeli unaonufaisha mchungaji na familia yake tu huku wengine mkigeuka watumwa wake.Huo ujinga haukuwepo kwenye kanisa la mwanzo.Walipokutanika walifanya ibada ya maombi,kufundishana wao kwa wao,badae walitoa matoleo kila mtu kwa kadri alivyofanikiwa.Kisha walichagua kiongozi mmoja wao(president) na kumkabifhi matoleo yao ili ayapeleke kwa;wafungwa,wagonjwa,maskini,yatima miongoni mwa jamii ya waumini na hata kwa wapagani.Huu ukristo wa kisasa ni wa mchongo.KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
WENZAKO WANATOA HADI V8 NZIMANZIMA.Sadaka ya kupeleka kwa wachungaji? Wanunulie V8? Stupid nenda nunua mchele peleka kwa watoto yatima ,,,nnunua vitu pelekea kaya masikini!..
SADAKA sio Kodi. Kuna mambo umeweka hapo ni kazi ya Kodi za wananchi sio Sadaka.Makanisa ya kitapeli yapigwe darubuni Kali. Sadaka iende kwa walengwa wenye uhitaji mkubwa wa majitaji muhimu kwenye umasikini, afya na elimu.
USIKUBALI UTAPELI WA KIROHO.
Danny DBora uunge bando tudownload ma series makali
Sema Tu tukusaidie, wacha kujificha kwenye kivuli cha sadakaKWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la sadaka akawa anaconcentrate na watoa sadaka zaidi ya prayer worriers, wahubiri na wasilizaji wasiotoa.
Fanya maisha yako, maisha ya sadaka.
Achana na porojo KUWA unatufaidisha wachungaji. Mungu anaongea KWA wepesi kupitia sadaka kuliko maneno.
Barikiwa
Ijumaa Kareem
MTUMISHI MATUNDUIZI
Lipa namba ya Mungu kupokelea pesa imesajiliwa jina gani?Lipa number
Mungu anashawishiwa.Mungu hashawishiwi kwa chochote ili afanye jambo.Mungu ni mwema na mkarimu kwa watu wema na wabaya pia.Hayo mambo cjui mpe mchunhaji utabarikiwa ni utapeli unaonufaisha mchungaji na familia yake tu huku wengine mkigeuka watumwa wake.Huo ujinga haukuwepo kwenye kanisa la mwanzo.Walipokutanika walifanya ibada ya maombi,kufundishana wao kwa wao,badae walitoa matoleo kila mtu kwa kadri alivyofanikiwa.Kisha walichagua kiongozi mmoja wao(president) na kumkabifhi matoleo yao ili ayapeleke kwa;wafungwa,wagonjwa,maskini,yatima miongoni mwa jamii ya waumini na hata kwa wapagani.Huu ukristo wa kisasa ni wa mchongo.
Mwenyewe natoa sadaka mzeeSema Tu tukusaidie, wacha kujificha kwenye kivuli cha sadaka
Kabisa lo