Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Ni kweli Mungu hawezi kufa wala kusinzia wala kula kma tufanyavo sisi wanadamu
Uyo yesu ety anasulubiwa huku anamuomba Mungu sasa si angejiokoa tuu

Yni ukitafakari vzr utajua kua hapa watu wamepigwa na kitu kizito sanaa

Akhi kweli Mungu hawezi kufa wala hajawahi kufa

Unahitaji kujua ukweli wa Mungu na utendaji wake kazi kwako, unatakiwa kujua Kristo ni nani na Yesu ni nani

Unatakiwa kujua kwanini Mungu aliamua kuja kwetu kupitia Kristo na ukishajua utasema kweli YESU NI MUNGU

Ukihitaji maelezo mazuri nitarudi baada ya kazi
 
Kama Mna muita nabii issa lakini mnasema hajafaaa mtu gani wa kawaida gani asiyekufa huyo, Yesu ni njia na kweli na uzima

Na kwa YESU kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kwamba yeye ni MUNGU
Siku inakuja
 
Aisee kila mtu atabeba mzigo.wake msijidanganye kabisaaa ety kafa kwa ajili.ya dhambi zetu
Yni uue,uzini,uibe hlf useme kuna mtu kashanitubia dhambi zangu its non sense

Sasa mbona mnaenda makanisani ili msamehewe dhambi zenu? Na ubaya zaidi ety Pastor au Padri ndie anaesamehe dhambi wakati yy hpo anamichepuko kibao

kusema ukweli wakristo jitafakarini bhna mumeingizwa chaka na iyo imani yenu

Tungekua tunatafuta kuujua ukweli kabla ya kubisha tusiyoyajua tungekua na amani sana
Na tungekua tunaujua mpango wa Mungu ni kwa kila aliyemuumba na yeye ni wa wote tusingejidai kumbinafsisha
 
Kijana kutoka suala la kumuamini yesu na kutenda dhambi yameingiaje hapa?

m nimekwambia I am a Muslim

jaribu kutafuta swali linaloendana kidogo

Wacha ubaguzi na uharibifu kwa kigezo cha kummiliki mungu kupitia wewe.

Kama yeye Mungu aliyetuumba hakutubagua, alimpa Ishmail baraka zake na Isaka baraka zake wewe nani uje umbinafsishe Mungu awe wako mwenyewe?

Acha udini Mungu habinafsishwi

Pambana kuacha uovu uelewane na Mungu sio upambane kusema wewe ni bora kuliko wale hala Mungu akukatae

Mwanzo 17: 1-10; 15-19

Abrahamu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu. Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.
Abrahamu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi, wala jina lako hutaitwa tena Abrahamu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.

Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa, na wafalme watatoka kwako.
Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.
Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako.
Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

Mungu akamwambia Ibrahimu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara.
Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.

Ndipo Ibrahimu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa?

Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.
Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.

Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
 
Kuna Utata mkubwa Sana Katika kuzaliwa kwa Yesu kutokana Na Maandiko ya Biblia. Ila Kwa Akili Timamu Binadamu yeyote lazima Azaliwe kwa Mifumo maalumu ya Mbegu ya Kiume kuungana Na Mbegu ya Kike Tofauti na Hapo Binadamu hawezi Kutokea
Mzee adamu yeye ilikuwaje?
 
lete andiko kuthibitisha hoja yako

Wakolosai : 1 : 15 - naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Wakolosai : 1 : 16 - Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
 
Sio kuogopa, ni upendo uliozidi kipimo cha wanadamu
 
Why did god have to send himself down to earth to become his own son to sacrifice himself to himself just to convince himself to forgive us?
 
Wakolosai : 1 : 15 - naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Wakolosai : 1 : 16 - Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
Why did god have to send himself down to earth to become his own son to sacrifice himself to himself just to convince himself to forgive us?
 
Akhi kweli Mungu hawezi kufa wala hajawahi kufa

Unahitaji kujua ukweli wa Mungu na utendaji wake kazi kwako, unatakiwa kujua Kristo ni nani na Yesu ni nani

Unatakiwa kujua kwanini Mungu aliamua kuja kwetu kupitia Kristo na ukishajua utasema kweli YESU NI MUNGU

Ukihitaji maelezo mazuri nitarudi baada ya kazi
Why did god have to send himself down to earth to become his own son to sacrifice himself to himself just to convince himself to forgive us?
 
Ukitumia akili zako timamu utajua hapa Hakuna Ukweli wowote

Maana hao hao waliotunga hayo maandiko wanakuja Kusema Huyo waliomsulubu alikuwa ni Mungu. Ila Ukiwauliza Kwahiyo Binadamu walimuua Mungu hawana Jibu. Na Ukiwauliza Kwahiyo Dunia ilimuua Mungu na Ikawa haina Mungu kwa Siku 3 mfululizo hawana Jibu
Yesu ni mtoto wa mungu. Kwahiyo dunia haikukaa bila mungu maana mungu baba alikuwepo😃
 
Kwa nini unaingiza suala la Waafrika wakati huko Ulaya, Marekani na Asia kumejaa dini ya Ukristo na nyingine nyingi!
Mtu alipigwa kipigo cha mbwa koko akashindwa kujitetea akaanza kumlilia Mungu wake amsaidie bado watu wanasema mtu huyo ni Mungu.. cha ajabu zaid hadi wasomi wakubwa wapo kwenye mkumbo huo yaan elimu zao za kwenye makaratasi hazijawasaidia kufikiria zaid.

Hivi hizo siku 3 alizokufa dunia ilikuwaje? Nani alikua akiongoza hii dunia? Hayo madhambi mbona yanazidi kama alifia msalaban kwa ajili yenu?

Waafrica njli watumwa sna kujikomboa kiuchum na kifikra tutasubiri sana
 
Yesu ni mtoto wa mungu. Kwahiyo dunia haikukaa bila mungu maana mungu baba alikuwepo[emoji2]
Kwahiyo Mungu kazaa ndugu yangu maana Tunajua Tulio na Watoto ni Sisi Viumbe wake. Na Je Adam ni Mtoto wa Nani kulingana na Maandiko maana Kama Yesu ni mwanae wa Pekee Adam hana Wazazi
 
Sio kuogopa, ni upendo uliozidi kipimo cha wanadamu
Yaani Mungu Aliyewaunguza Sodoma na Gomora kwa Kutenda maovu.. Mungu aliyeshusha Mvua Ikaangamiza Wale Viumbe waliokuwepo Kipindi hicho.

Leo hii mumuulize Mwanae wa Pekee Awaangalie Tu.. Mmpige Mijeredi na Kumtukana Asiwashushie Moto. Anawaogopa Nini Nyie
 
Wakati Mungu anamuumba mwanadamu alisema..."na tuumbe mtu kwa mfano wetu". Alikuwa anamwambia nani?
Unatakiwa ujiulize kwanza Swali hili Huyo Mwandishi Aliyeandika hivyo alimsikia Wapi Huyo Mungu akisema Hivyo maana Tunajua Maandishi ni ya Mwanadamu hakuandika Mungu. Maandiko mengine ni Utunzi

Maana kitabu hicho hicho cha Mwanzo kuna Sehemu kimeandika kwamba Mungu aliwaumba Mwanaume na Mwanamke kwa Pamoja hakuumba Kwanza Mwanaume hakafuata Mwanamke. Wote waliumbwa Kwa Pamoja
 
Kwahiyo Mungu kazaa ndugu yangu maana Tunajua Tulio na Watoto ni Sisi Viumbe wake. Na Je Adam ni Mtoto wa Nani kulingana na Maandiko maana Kama Yesu ni mwanae wa Pekee Adam hana Wazazi
Adam hana wazazi, ni udongo uliopuliziwa pumzi. Yesu ndo mtoto wa maajabu anaye mama na baba wa kufikirika.
 
Unatakiwa ujiulize kwanza Swali hili Huyo Mwandishi Aliyeandika hivyo alimsikia Wapi Huyo Mungu akisema Hivyo maana Tunajua Maandishi ni ya Mwanadamu hakuandika Mungu. Maandiko mengine ni Utunzi

Maana kitabu hicho hicho cha Mwanzo kuna Sehemu kimeandika kwamba Mungu aliwaumba Mwanaume na Mwanamke kwa Pamoja hakuumba Kwanza Mwanaume hakafuata Mwanamke. Wote waliumbwa Kwa Pamoja
Mi ndo maana niliacha kuamini biblia inachanganya sana
 
Kuna swala ambalo inabidi uelewe.
Wewe unamjua Yesu baada ya kuzaliwa na maria lakini Yesu alikuwepo kabla ya maria. Yeye ndio MWANZO. Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana. Ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Unatakiwa kujiuliza pia kwanini alikataliwa na Wanadamu. Mungu anaweza Kutuma Kitu halafu wewe ukakikataa kwa Akili ya Kawaida!? Halafu unamsifia Kwamba hakuna linaloshindikana kwake

Usimpambe pambe Tu. Mzaliwa wa Kwanza Wa Viumbe wakati hapo hapo mnasema ni Mungu. Mungu anakuwaj tena kiumbe
 
Back
Top Bottom