Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mjadala wa dini mgumu
Ni mgumu kwa Sababu watu wengi wanafuata Mkumbo Bila Kuhoji. Mtu unaambiwa Mungu kazaa na Wewe unakubali Bila kuhoji unategemea Leo hii 2022 ukiulizwa Swali utajibu wakati tayari Wewe ushafuata Tu Mkumbo wa Mungu Kazaa
 
Ndugu tumia Akili zako tu si mpaka Iandikwe kwamba Si Mungu. Hakuna sehemu aliyoandikwa ni Mungu pia
Inategemea aina gani ya akili unayotumia kumjadili Yesu kristo.

Kuna kutumia akili ya MAADILI (Values) na kutumia akili ya IMANI (Beliefs).

Kusema Yesu ni Mungu, ni matumizi ya akili ya imani,
yakiwa ni mapokeo halisi yasiyothibitishwa, juu ya jambo fulani kutoka kwa watangulizi wetu.

Ukisema Yesu si Mungu, ni matumizi ya maadili yakiwa ni mapokeo ya kuweka mfumo wa kiwango (standards) cha maisha katika jamii husika ili kuweka uwiano.

Kwa hiyo inategemea unatumia akili ya aina gani unapojadili juu ya Yesu. Ukitumia akili ya maadlli, ni sahihi kusema Yesu si Mungu. Pia ni sahihi kusema Yesu ni Mungu kama unatumia akili ya imani.

Sasa je biblia ni kitabu cha imani ya kikristo au maadili ya kikristo?

Sa
 
kila mtu na imani yake, waslam wanasema yesu ni nabii Isa kama walivyo manabii wengine, na hao manabii walizaliwa kwa mfumo wa kawaida wa kibinaadam, ila kabla ya kuzaliwa Mungu alishawawekea muhuri ya unabii.

pia wakristo wanaamini Yesu ni masiha, na Mungu kutoka utatu mtakatifu wa Mungu, yani Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu.
 
Umesema kuwa hao watu wa kwanza waliweza kumjua huyo mungu kupitia miujiza ya uumbaji na ukasema uumbaji unaendelea hadi sasa, kwahiyo kama Fumbukasa aliweza kupata hiyo elimu kupitia uumbaji basi ni akili ya kawaida tu kwamba na sisi tungekuwa tunaweza kuipata hiyo elimu kupitia huu huu uumbaji maana uumbaji haujesha unaendelea. Sasa labda useme kuwa huyo Fumbukasa na mkewe walikuwa watu special ambao huyo mungu aliwachagua wao pekee kuwapa hiyo elimu?


Lete maandiko yenye kusema ukitaka kuomba lazima utoe sadaka au kuchinja.
 
Asante sana mwana jadi,jadi ndio mwanzo wa vyote,Mungu aliumba mtu mume na mke,pia na kwa viumbe wengine hivyohivyo,biblia ni kitabu cha hadithi ambacho kinafundisha mambo ya kiroho,siyo kilichoandikwa mle ndo ulikuwa ukweli,kiumbe yesu anayezungumzwa kwenye biblia hakuwahi kuishi ni hadithi tuu,zaidi Mungu hawez kukaa kwenye kiumbe alicho umba yeye,pia Mungu hana haja ya sadaka yako wala fungu la kumi,turudi kwenye dini za wazee wetu,wazungu walitupiga sana,
 
We umezaliwamwaka gani sa unabishana vip na waliokjwapomiakka ya yesu
Hiv ndg ulishawahi kujiuliza maana biblia imekuja huku mf.TZ 1880's hiv,sasa kabla ya kuja hiyo biblia wale mababu walikuwa hawamjui Mungu? Jibu linakuja walimjua,sasa iweje leo wale mababu zetu tuseme waliabudu miungu?
 
Kwanini turudi kwenye dini za wazee wetu na si kwamba na sisi tuanzishe dini zetu mpya zenye kuendana na wakati wetu?
 
Na aliifia dhambi,jiulize hiyo dhambi ilishakoma? Au ndo zimepamba moto? Hakuna kitu km hicho hizo ni hadithi tuu jamani,tulitarajia km aliifia dhambi na shetani basi kusingekuwepo shetani na dhambi,yeye kafa dhambi bado inaendelea,kaenda kwa baba dhambi kaziacha palepale!
 
Majibu yako mwanajadi yananikosha sana daaah,kweli adam na hawa si wa kwanza,Mungu aliumba mtu mume na mke,na waliofata hapo hawakuumbwa bali ni matokeo ya viumbe wa kwanza vilivyofanyika kwa uweza na nguvu wa muumba wetu
 
Sasa ikiwa mnaona ni vibaya kumtumikia Yehova chagueni leo yule mtakaemtumia, iwe ni miungu ambayo mababu zenu waliabudu nga°ambo ya mto. Yoshua 24:15

HULAZIMISHWI KUMWAMINI YEHOVA, CHAGUA MUNGU UTAKAE ONA ANA KUFAA.
Daaah ona sasa,eti miungu ya babu zenu,wazee wetu wa kwanza ndo waliabudu Mungu wa kweli,ndo maana kila walichoomba walifanikiwa,
 
UKIPENDA KIDOGO UTAJALI KIDOGO.
UKIPENDA SANA UTAJALI SANA!
 
Ile ndo ilikuwa ni dira na mwelekeo wa maisha ya watu,ni uhalisia wa kuishi kiutu,
Kwanini sasa tushindwe kuunda dira yetu na muelekeo wetu kwa mazingira yetu tuliyo nayo?
 
Mungu huwez kumuita kwa majina ya kibinadamu,kwanza hawez kufananishwa na kiumbe alicho umba yeye,yuko juuu sana
 

So hapa unataka kusema Yesu alikaa na Mungu kuumba ulimwengu ? Au Yesu alikua peke yake kuumba ulimwengu ?
Na Kama walikaa wote So Mungu alimuumba Yesu kwa udogo nae au aliumbwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…