olando da costa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 505
- 379
Hhhhhhh Huna hoja kila kiumbe huzaliwa kwenye Uislamu ndo mna mnabatiza watoto wenu ili muwatoe kwnye Uislamu
Yesu alijua kusoma na kuandika. Mbona hana kitabu chake mwenyewe? Na kwanini Aandikiwe na Waandishi ambao si mitume wake wala hawakuwa karibu nayeKaka principle ni hii
Imeandikwa
Marko : 16 : 15 - Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 : 16 - Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mkubali Yesu kwamba ni mwana wa Mungu
Ukabatizwe. Tofauti na hapo utahukumiwa
Kwahiyo unaamini sadaka huenda kwa Mungu?Imani we Amini tu...., Ukiweka Logic sio Imani tena its a Science....
Kwahio kama wewe upo huko yabebe kama yalivyo... kuepuka kuombewa au kutolewa mapepo...
Ukisoma vitabu soma kuelewa usikariri. We Mungu unamjua??Yesu ni mwana wa Mungu wa kumzaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unaamini sadaka huenda kwa Mungu?
Wanaoamini ni kwamba wanaamini hivyo..., ni vigumu kubishana na Imani ya mtuKwahiyo unaamini sadaka huenda kwa Mungu?
Mi nimekuuliza wewe mwenyewe kuwa Je! Ile Pesa Unayoambiwa utoe km sadaka unaamini inaenda kwa Mungu?Wanaoamini ni kwamba wanaamini hivyo..., ni vigumu kubishana na Imani ya mtu
Hapa tutazunguka mpaka kesho..., Imani ni ya mtu binafsi hata mimi kama naamini mzimu wa Babu yangu upo kwenye huu mkufu niliovaa (hata kama ni kweli au sio kweli hio ni Imani yangu) Kutokuamini au kuamini kwangu hakufanyi iwe kweli au sio kweli....Mi nimekuuliza wewe mwenyewe kuwa Je! Ile Pesa Unayoambiwa utoe km sadaka unaamini inaenda kwa Mungu?
Katazo liko wapi kwenye biblia ambayo ni riwaya?Kwa wakati huo Mungu hakutoa katazo. Lakini kwa sasa katazo lipo.
Sasa mtu binafsi anaweza amini dunia ni tambalale je kweli dunia ipo flat?Hapa tutazunguka mpaka kesho..., Imani ni ya mtu binafsi hata mimi kama naamini mzimu wa Babu yangu upo kwenye huu mkufu niliovaa (hata kama ni kweli au sio kweli hio ni Imani yangu) Kutokuamini au kuamini kwangu hakufanyi iwe kweli au sio kweli....
Thus kubishania Imani ni jambo gumu sababu ni Imani..... sio Sayansi... unless kama nyote mnaamini kitabu fulani thus mnabishania maandiko ya hicho kitabu sio authenticity ya hicho kitabu (sababu hata ukweli wa hicho kitabu pia ni Imani)
Sawa Ni Imani ndugu Yangu ila Imani Bila Akili Timamu kuishirikisha Unakuwa Unaharibikiwa maisha Yako.Hapa tutazunguka mpaka kesho..., Imani ni ya mtu binafsi hata mimi kama naamini mzimu wa Babu yangu upo kwenye huu mkufu niliovaa (hata kama ni kweli au sio kweli hio ni Imani yangu) Kutokuamini au kuamini kwangu hakufanyi iwe kweli au sio kweli....
Thus kubishania Imani ni jambo gumu sababu ni Imani..... sio Sayansi... unless kama nyote mnaamini kitabu fulani thus mnabishania maandiko ya hicho kitabu sio authenticity ya hicho kitabu (sababu hata ukweli wa hicho kitabu pia ni Imani)
Kwa Akili yako Tu timamu Ndugu yangu Unamsubiri Mungu akukataze. Kwahiyo Kusingekuwa na Katazo Wewd ungefanya Lolote Bila AkiliKwa wakati huo Mungu hakutoa katazo. Lakini kwa sasa katazo lipo.
Je wasiomwamini huyo yesu wenu siyo watu na wamewezaje kufanikiwa katika mambo yao bila yesu?Kaka mkubali yesu uokolewe, hamna sehemu kwenye hilo andiko ambako kunasema injili haijahubiriwa na ndio maana wakristo wanauawa kwa maana WAPO.
Imeandikwa
Matendo ya Mitume : 4 : 12 - Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Na wewe ni mwana wa nani wa kukuzaa?Yesu ni mwana wa Mungu wa kumzaa
Dunia can be proved kwamba sio flat..., that is Sayansi Mambo ambayo hayahitaji proof wala hayasikilizi Proof bali yanatumia vitu abstract wala bila logic ni vigumu kufikia conclusion....Sasa mtu binafsi anaweza amini dunia ni tambalale je kweli dunia ipo flat?
Kuna kuamini ujinga kama huu mnaiamini na kunakuakini uhalisia kuwa sote tutakufa,huwezi kuaminishwa ujinga kwa wakati wote wewe utakuwa siyo mtu kamiliWanaoamini ni kwamba wanaamini hivyo..., ni vigumu kubishana na Imani ya mtu
In the end its all about peace of Mind..., Pesa ni Makaratasi na unazitafuta ili kukidhi needs and wants..., na katika hizo needs ni wewe roho kufarijika na kufurahia.., sasa kama watu wanakupa hio peace of Mind who is I to say Otherwise....Sawa Ni Imani ndugu Yangu ila Imani Bila Akili Timamu kuishirikisha Unakuwa Unaharibikiwa maisha Yako.
Mfano Unatoa Pesa Yako Ila wao Wanasema "EH MUNGU POKEA SADAKA HII mikononi Mwako" halafu baadae Unaona Wanajenga Mashule, maofisi,wananunua Mashamba,wananunua Magari, wanajenga Apartment n.k n.k Hapo Utasema Ni IMANI tu ndugu yangu umewasikia Wakisema Mungu Apokee Sadaka ila Sadaka zako na Shukrani zako.. Na Harambee zinaenxa Kufanya Mambo ambayo unajua Kabisa Hayahusiani na Mungu
Wee jamaa una upumbavu kumbe? kwamba wachina wote wanaoabudu masanamu yao yale hawana akili?! heshimu imani za watu unang'ang'ana na wakristo kwani huoni wahindi au waislam?Kwa Akili yako Tu timamu Ndugu yangu Unamsubiri Mungu akukataze. Kwahiyo Kusingekuwa na Katazo Wewd ungefanya Lolote Bila Akili
Wajinga ndio waliwao, Acha watu watoe sadaka 3 kwa ibada moja watu wajenge na kununua v8 mkuu.Kuna kuamini ujinga kama huu mnaiamini na kunakuakini uhalisia kuwa sote tutakufa,huwezi kuaminishwa ujinga kwa wakati wote wewe utakuwa siyo mtu kamili
Mtu kamili ni yupi... ?Kuna kuamini ujinga kama huu mnaiamini na kunakuakini uhalisia kuwa sote tutakufa,huwezi kuaminishwa ujinga kwa wakati wote wewe utakuwa siyo mtu kamili