FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ukiuongelea Uislam usitoe uharo wako, toa nukuu zinazokubalika Kiislaam, nayo ni Qur'an pekee.I thought this topic was a logical question, mara paah nakutana na hadith za kiislamu humo ndani, ndio nikajua kumbe ni muislamu anaejaribu kuukosoa ukristo. Najua musilamu hata umfanyeje atafanya kila awezalo ama aafanya kila jitihada kutokuuelewa ukristo.
Anyway, dini zote ni taasisi za kitapeli, Mungu hayupo wala shetani hayupo. Ni hadithi tu za kutunga.
Ukisoma vitabu vya dini, kwenye uislamu ndio hadithi za Mungu zimefanywa kua za ajabu ajabu zaidi, halafu unaambiwa zilishushwa na Mungu, unajiuliza alieshisha hiki kutabu ama haya maelekezo ndio anaitwa Mungu kweli ama alikua amelewa?
Anyway, ngoja niishie hapo.
Leta ushahidi wako kama u mkweli.