Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

I thought this topic was a logical question, mara paah nakutana na hadith za kiislamu humo ndani, ndio nikajua kumbe ni muislamu anaejaribu kuukosoa ukristo. Najua musilamu hata umfanyeje atafanya kila awezalo ama aafanya kila jitihada kutokuuelewa ukristo.

Anyway, dini zote ni taasisi za kitapeli, Mungu hayupo wala shetani hayupo. Ni hadithi tu za kutunga.

Ukisoma vitabu vya dini, kwenye uislamu ndio hadithi za Mungu zimefanywa kua za ajabu ajabu zaidi, halafu unaambiwa zilishushwa na Mungu, unajiuliza alieshisha hiki kutabu ama haya maelekezo ndio anaitwa Mungu kweli ama alikua amelewa?

Anyway, ngoja niishie hapo.
Ukiuongelea Uislam usitoe uharo wako, toa nukuu zinazokubalika Kiislaam, nayo ni Qur'an pekee.

Leta ushahidi wako kama u mkweli.
 
Hakuna cha upendo hapo, ni ujuha usioelezeka. Hakuna Mungu wa aina hiyo duniani, huyo aliyeandika hayo alikuwa kalewa. Fikiri.

Ni ujuha tu kufikiri kuwa Mungu atashuka amjaza mtu mimba. wakati binaadam mpo, kishawaumba kwa kazi hizo za kuzaliana, yeye husema tu, "kuwa, inakuwa".

Ujuha wa Kirumi na Kigiriki huo wa kuwa na miungu wa kila aina, mtajazwa ujinga nyinyi tu, ili mtawaliwe vizuri na mshughulikiwe vizuri na kina Father Kit Cunningham. Na nyie mpo tu.
Mungu hamjazi mimba mtu kama binadamu afanyavyo, na ana watoto wengi tu.
 
Unasema habari haijaanzishwa na Wazungu wakati hata hiyo biblia unayoisoma ni ya "King James"? Fikiri kijana.
Walioanzisha ukristo walikuwa mitume 12 wa Yesu. Hawa hawakuwa wazungu. Hiyo King james ni tafsiri ya yale waliyoiandika.
 
Naam. Kapewa Qur'an atufikishie, kaifikisha na ipo mpaka kesho, hakuna anaeweza kuibadili.

Kwa kukujuza tu, Mtume Muhammad ni Mtume wa Walimwengu wote. Hata wewe kapewa ujumbe akufikishie, Ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, kama alivyokuwa Issa (aka Yesu), Mussa, Ibrahim, na wengine wengi tu. Naam, na mimi ujumbe aliokuja nao, ambao ni Qur'an, nnaukubali hauna shaka na ni mwema sana, sio hizo porojo zenu za Kibinaadam.

Naona Umerudi kunijibu kwa Ustaarabu ndugu. Mimi nina maswali haya

1. Mungu ambaye ni mmoja na Hana Washirika inakuwaje Anakuwa na Manabii na Mitume

2. Je wewe unayoyafanya Haya Katika Uislamu ndivyo mtume Muhammed amekuelekeza! Yeye ndie aliyekuwa anasali hivyo kwa Mungu wake(kutawadha, kuchinja wanyama n.k n.k)

3. Kama Mungu ni Mmoja Kwanini wewe na Wakristo mnasali tofauti.!?
 
I thought this topic was a logical question, mara paah nakutana na hadith za kiislamu humo ndani, ndio nikajua kumbe ni muislamu anaejaribu kuukosoa ukristo. Najua musilamu hata umfanyeje atafanya kila awezalo ama aafanya kila jitihada kutokuuelewa ukristo.

Anyway, dini zote ni taasisi za kitapeli, Mungu hayupo wala shetani hayupo. Ni hadithi tu za kutunga.

Ukisoma vitabu vya dini, kwenye uislamu ndio hadithi za Mungu zimefanywa kua za ajabu ajabu zaidi, halafu unaambiwa zilishushwa na Mungu, unajiuliza alieshisha hiki kutabu ama haya maelekezo ndio anaitwa Mungu kweli ama alikua amelewa?

Anyway, ngoja niishie hapo.

Mimi siyo Muislamu. Kama Kuna Jambo unaloweza Leta Majibu katika Topic hii ndugu yangu Unaweza Kunijibu tu bila kutuhumu jambo lolote
 
Ulijuaje kuwa yupo kweli na wakati hujamuona hujamsikia na wala hakuna mawasiliano nae? wewe jamaa unashangaza kwa kweli.
Hakuna Jambo Unaloweza Kusema unajua Kama Hujaambiwa na Kusikia ndugu yangu. Mungu Yupo Alipo na Wewe upo Ulipo, Mungu hana Washirika wala Manabii na Mitume. Hii elimu ipo kwenye Jadi na Elimu kutoka Kwa Wazee na Mababu kabla ya Hao Viumbe wa Biblia na Quran kuja Kuwapotosha.

Wazee wetu na Mababu Zetu waliomba Kwa yake Mungu na Walifanikiwa.
 
Maandiko ya biblia yanasema hivyo ndugu. Kama kuna mungu mwingine ambaye si wa mchongo tuwekee maandiko yake hapa tuyasome
Kwa Taarifa Yako.. Yehovah si Mungu Yehova ni Mtoto wa Hudi aliyezaa na Sharka mke wa Pili wa Hudi (ambao ndio wayahudi wa Leo) hawa Walitokea Lagahindu(india ya Sasa). Yehovah alirithi Mali za Hudi Alipofariki na Akapata Umaarufu mkubwa katika jamii yake na Alizikwa Kilima Sinai
 
Hakuna Jambo Unaloweza Kusema unajua Kama Hujaambiwa na Kusikia ndugu yangu. Mungu Yupo Alipo na Wewe upo Ulipo, Mungu hana Washirika wala Manabii na Mitume. Hii elimu ipo kwenye Jadi na Elimu kutoka Kwa Wazee na Mababu kabla ya Hao Viumbe wa Biblia na Quran kuja Kuwapotosha.

Wazee wetu na Mababu Zetu waliomba Kwa yake Mungu na Walifanikiwa.
Hao mababu zetu wao walitumia njia gani kuweza kujua kuwa kuna huyo mungu na kujua mambo yanayohusiana na huyo mungu? au mkuu hujawahi kujiuliza swali kama hilo? achana na habari za Qur'an na Biblia mimi nakuuliza wewe kutokana na haya unayoyaeleza kuhusu mungu.

Suala la kuomba na kufanikiwa ndio hoja mkuu? ushafikiria kuwa wasioamini Mungu kabisa kuwa nao wanafanikiwa mambo tena bila kuomba? halafu nani kakwambia kuwa sasa hivi watu hawafanikiwi wakiomba?

Hii hoja ya kwamba sijui wazee walikuwa wanaomba na kufanikiwa haina mashiko kwa sababu hata sasa kila dini au imani wana taratibu zao kuomba na yapo yanayojibiwa.
 
Tuna Mungu mmoja aliye baba na ana mwanawe wa Pekee anaitwa Yesu.
Nikuulize mwanao akitumia jina lako ni kosa?
Ndugu yangu Huwezi sema Mungu ni Mmoja Halafu hapo hapo Unamwita na Mwanae ni Mungu. Hao ni Mungu wawili utakuwa unawatambulisha

Mfano Jina lako ni olando baba ako ni Costa. Huwezi wewe Kujiita Costa ukaliacha Jina Lako Olando
 
Hayo madai ya kwamba Mungu hayupo uhakika wake ni upi ni njia gani wenzetu mnatumia hadi kufikia hilo hitimisho la kusema huyo Mungu hayupo na si vinginevyo? Au ndio kwamba dini kuwa taasisi za kitapeli ndio sababu ya kufanya kudai huyo Mungu hayupo?
Mkuu, ni simple logic tu, mungu hayupo kwa sababu hajawahi kuonekana, simple. Wewe kwenye maisha yako umewahi kumuona Mungu? Unaweza kutupatia picha anafananaje?

Kama hujawahi basi hadithi za Mungu ni za kutunga tu na wala hazina maana yoyote.
 
Ww una chuki zako tu na Uislamu mbona hujaongelea ukristo ambao unamtukana mpk huyo Mungu wao .Pia unawadhalilisha manabii wa Mungu kua wamezini

Ata mkichukia vipi Uislamu utabaki na utaendelea na ndiyo dini ya haki ambayo wanadamu wote wanatakiwa kuifuata
Hehehehe.

Eti dini ya haki.

Mdogo wangu dini ni mambo ya kitapeli, achana nayo yatakusumbua akili yako na wala hayatakupeleka popote.

Tunaonua masuala ya dini tunaona miaka michache ijayo dini itabaki kua historia.
 
hujaona hapo Mungu ANU na watoto zake kina ENKI na ENLIL ?
NB hayo ni maandiko ya kale Kuliko Bible ya Israelites yametoka Sumeria je una maoni Gani kuyahusu?

Kuna miungu wengi wamekuwepo kwa jamii tofauti, kwa mfano wafilisti walikuwa na mungu wao anaitwa dagoni, kulikuwa na mungu baal wa wakanani, na huyo mungu sumeria wa kuitwa anu.
Swali kwa nini Mungu wa israeli wa kuitwa Yehova na mwanawe wa pekee aitwaye Yesu Kristo waendelee kuabudiwa mpaka sasa ilhali hao wengine wa mchongo hawasikiki?
 
Hao mababu zetu wao walitumia njia gani kuweza kujua kuwa kuna huyo mungu na kujua mambo yanayohusiana na huyo mungu? au mkuu hujawahi kujiuliza swali kama hilo? achana na habari za Qur'an na Biblia mimi nakuuliza wewe kutokana na haya unayoyaeleza kuhusu mungu.

Swali Zuri Wewe umejua Uwepo wa Huyo Mungu wa Israeli au Mumgu yeyote yule kupitia Masimulizi ya Waandishi wa kwenye Biblia. Ndugu yangu Huwezi Kusema Unamjua Mungu Kama Hujaambiwa au Kusimuliwa labda Kama Ww mwenye Ulikuwepo Mwanzo wa Ulimwengu. Kama Hukuwepo jua Kwamba Uliambiwa tu na Kusoma Sehemu hakuna Njia nyingine ya Kujua Kuwa Yupo.

Wazee wetu Walipata Haya Na Mpaka leo yametunzwa Kwa Njia hiyo hiyo. Mwanadamu wa Kwanza Aliweza kufunuliwa haya Kwa Njia Ya Muujiza wa Mungu si Mungu mwenyewe. Muujiza huu ndio uliweza Kuumba Dunia na Ulimwengu uliopo Leo hii na Kumuumba Huyo Mwanadamu na Mkewe.

Hii ni Elimu iliyokuwepo Mwanzoni na Ilitunzwa Afrika kabla Ya Viumbe wengine Kuja majini na Malaika waovu na Kuleta Neno Dini Duniani

Suala la kuomba na kufanikiwa ndio hoja mkuu? ushafikiria kuwa wasioamini Mungu kabisa kuwa nao wanafanikiwa mambo tena bila kuomba? halafu nani kakwambia kuwa sasa hivi watu hawafanikiwi wakiomba?
Sidhani kama Nimezungumza Jambo la Kusema Kwamba Kufanikiwa ni lazima Uombe. Sina Maana Hiyo na Wala Siamnini Hivyo kamwe. Washenzi wanafaulu kwenye Mambo yao.. Malaya wanafaulu kwenye mambo yao.. Majini wanafaulu kwenye Mambo yao,malaika wana faulu kwenye Mambo yao pia.

Watu wanaoomba Bila Kujua Ukweli wanafaulu tu baadhi ya Mambo kufanikiwa ni jambo jingine maana Hata shetani huwapa Tuzo wanaomheshimu, malaika huwapa Tuzo wanaowaomba.. MAJINI huwapata Tuzo wanaowaheshimu na Kuwafuga miilini mwao

Hii hoja ya kwamba sijui wazee walikuwa wanaomba na kufanikiwa haina mashiko kwa sababu hata sasa kila dini au imani wana taratibu zao kuomba na yapo yanayojibiwa.

Wazee wako na Mababu zako waliomba kwa Mungu mwenye Vyote si Hao miungu wengine . (ndicho nilichokuwa namaanisha). Hizi Dini zilizoletwa sasa Hivi jua kwamba Kuna Kiumbe amezisimamia Ndio maana Ukiomba anakupa Ila Tu Kama Akifurahi na Usipompa Baadhi ya Vitu kama Sadaka.. Zaka..Shukrani wanachukia.

Ndio Ujue hili Ndugu yangu. Mungu Hakuombi Chochote kile umpelekee Ndio akubariki yeye Si Kiumbe haitaji Kitu kutoka Kwako maana Yeye nj Mkamilifu si Dhaifu kama Wewe ulivyo. Ukiona Sehemu unaombwa Kitu Jua Kwamba unampa Si Mungu mwenye Vyote ila Ni Kiumbe cha Mungu chenye Tamaa

Sadaka.. Zaka.. Shukrani hivi Vitu Mungu wa Kweli Havihitaji maana Havimsaidiee kwa Chochote kile ila Wanaotaka Hivi vitu ni Viumbe kama wewe na Mimi
 
Kwa Taarifa Yako.. Yehovah si Mungu Yehova ni Mtoto wa Hudi aliyezaa na Sharka mke wa Pili wa Hudi (ambao ndio wayahudi wa Leo) hawa Walitokea Lagahindu(india ya Sasa). Yehovah alirithi Mali za Hudi Alipofariki na Akapata Umaarufu mkubwa katika jamii yake na Alizikwa Kilima Sinai

Source?
 
Mkuu, ni simple logic tu, mungu hayupo kwa sababu hajawahi kuonekana, simple. Wewe kwenye maisha yako umewahi kumuona Mungu? Unaweza kutupatia picha anafananaje?

Kama hujawahi basi hadithi za Mungu ni za kutunga tu na wala hazina maana yoyote.
Mungu haonekani kwa Sababu hakai na Viumbe vyake. Hakai na wewe hapa Duniani kilichopo hapa Duniani ni Muujiza Wake ndugu yangu

Ndio maana Unaweza ukakuta Uyoga umeota Hapo Nje ukauchuma Ukala. Ingawa Hujui umefikaje hapo.

Wewe unamtegema Mungu ingawa Humtii Mungu maana Kumtii ni Uamuzi wako mwenyewe na Wala Usipomtii hakuchukii hata Kidogo maana Yeye Hana Tabia za Kuchukia kama Mimi na Wewe.
 
Hehehehe.

Eti dini ya haki.

Mdogo wangu dini ni mambo ya kitapeli, achana nayo yatakusumbua akili yako na wala hayatakupeleka popote.

Tunaonua masuala ya dini tunaona miaka michache ijayo dini itabaki kua historia.
Ufinyu wako wa akili ndo ulokufikisha hapo sikulaumu

Hlf unabisha Mungu hayupo we ushawahi kuyaona manii mpk yanageuka kiumbe? au umemuona kiumbe tu kazaliwa ? izo process zoootee nani anazifanya kama sio Mungu?
 
Source ya Mambo haya Ni Elimu ya Jadi na Masimulizi ya Wazee wetu na Kitabu cha Wazee kilichoandikwa na Wacha Mungu.

Na Pia naweza Kukuambia Hili kama Nyongeza . Hudi na Mkewe wa Kwanza Jemi. Ndio waliotambulika kama Adam na Hawa. Adam ndie Hudi na Hawaii ambaye ndie Jemi. Waliitwa Hivyo Walipokuwa Wamekimbilia irak ambayi ndio Iraq [emoji1131] kwa Sasa. Na ukifuatilia kwa Makini utaambiwa na Wanahistoria Bustani ya Edeni ilikuwa Iraq
 
Ufinyu wako wa akili ndo ulokufikisha hapo sikulaumu

Hlf unabisha Mungu hayupo we ushawahi kuyaona manii mpk yanageuka kiumbe? au umemuona kiumbe tu kazaliwa ? izo process zoootee nani anazifanya kama sio Mungu?
Sikiliza, wewe bado huna akili ya kujadiliana na mimi kuhusu mambo ya dini na mambo ya mungu. Kajadiliane na mataahira wenzako huko madrasa
 
Hehehehe.

Eti dini ya haki.

Mdogo wangu dini ni mambo ya kitapeli, achana nayo yatakusumbua akili yako na wala hayatakupeleka popote.

Tunaonua masuala ya dini tunaona miaka michache ijayo dini itabaki kua historia.
Dini hizi zilizopo zitabaki historia maana Si dini za Mungu bali Viumbe wenye Tamaa waliofika Ulimwenguni

Mtu anasema Dini yake ni ya Haki. Hajui kwamba Haki Hata Jambazi aliyeua anaweza Kuwa mwenye haki na Kuachiliwa huru

Maana Haki Inapatikama Pale Inapotokea Mmoja Anamashahidi wengi wa kumtetea kuliko wewe. Kwahiyo Hata Muongo anaweza Akawa na Mashahidi wengi wa kumtetea na Akamshinda Mwenye Ukweli
 
Ndugu yangu Huwezi sema Mungu ni Mmoja Halafu hapo hapo Unamwita na Mwanae ni Mungu. Hao ni Mungu wawili utakuwa unawatambulisha

Mfano Jina lako ni olando baba ako ni Costa. Huwezi wewe Kujiita Costa ukaliacha Jina Lako Olando

Duu, kwa mfano jina kikwete. Kuna jakaya, je jakaya akiitwa kikwete ni kosa? Hilo jina si ni la kurithi?
Vivyo hivyo Yesu karithi Jina la baba yake ndiposa anaitwa Mungu.
 
Back
Top Bottom