Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!

Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.

Yesu ni Mungu.
Yesu hawezi kuwa Mungu..
 
Ulishadai mnamaandiko yenu ya mababu, na ukaweka kabisa binadamu wa kwanza kulingana na mababu zako
weka link tusome na tujifunje dini yako
Mimi sina Dini Ndugu. Nimeshawaambia Wana JF humu ndani utaratibu upoje na Kama Ungekuwa unafuatilia Mjadala vizuri ungeshafika Huko na Kupata Kitabu na Vingine. Ila ww unadhani kila kitu kipo kwenye internet
 
Mimi sina Dini Ndugu. Nimeshawaambia Wana JF humu ndani utaratibu upoje na Kama Ungekuwa aunafuatilia Mjadala vizuri ungeshafika Huko na Kupata Kitabu na Vingine. Ila ww unadhani kila kitu kipo kwenye internet
Dini yako ulishasema ni mababu na nimekufuatilia, kikubwa unapinga dini zingine na unaamini mababu na hapo hapo unasema huna rejea yoyote
 
Ndugu yangu toka Lini mababu walikuwa na Dini!? Dini ni hizo Mlizopo nyie. Kuna Mwana JF nishamuelekeza Sehemu na Keshaungwa Huko Telegram ila Wewe unachotaka Ni Ubishi tubishane..

Mbona Mkiw Huko Huwa mnaenda Sehemu mnafundishwa

Mbona Huwa mnanunua Biblia na Vitabu vingine

Ila Mimi Nakuambia Fany Hivi na Vile Unataka Viwekwe Kila Kitu Humu
 
Kitu kingine Yesu Pia Aliwakuta Wayahudi wapo na Dini yao waliyoachiwa na Musa. Ungejiuliza Kwanza Kwanini Alikuja Wakati aliwakuta na Dini yao kabla Hujaniuliza Mimi hilo Swali
 
Kwa hiyo kilele zako humu ni unataka watu waungwe telegram, yani huna material yoyote ya mababu zako?
Material ya mababu zako yanapatika only telegram?
 
Mtiririko wa kuanza musa mpaka Yesu upo wazi kasome
Hapa unaweza ku challenge na kuuliza maswali ya biblia maana rejea ipo
Ila tukitaka kusoma rejea za mababu zako unaleta masharti mpaka ya kujiunga telegram?
 
Ndio maana Nimekuambia Wewe upo Kwa Ajili ya Kubishana. Unadhani Unaweza Kutaka Vile Akili Yako Inataka ifanyiwe. Umeambiwa Ipo Huko ndio na WhatsApp pia. Ila Unataka Uwekewe hapa Masomo kuanzia 2020 UKIDHANI elimu hiyo ni Ya siku mbili au Moja unaelewa.

Mi sikulazimishi Chochote ndugu yangu. Kama Unaona Ni Kelele baki huko ulipo tu
 
Kwa nini unaleta masharti kwenye maandiko ya mababu zako, weka maandiko tuyasome? nikiwa na maswali ndio nakuuliza
kama hakuna maandiko kiri hakuna na ni fasihi simulizi ndio ipo , na hata kama ni simuliza weka hapa tusikilize
 
Mtiririko wa kuanza musa mpaka Yesu upo wazi kasome
Hapa unaweza ku challenge na kuuliza maswali ya biblia maana rejea ipo
Musa Anadini Yake
Yesu ana dini Yake

Huo Mtiririko unaupataje.. Wakati Yesu alikuja na Mambo yake na Musa Alikuwa na Mambo Yake

Ila tukitaka kusoma rejea za mababu zako unaleta masharti mpaka ya kujiunga telegram?

Mnaenda Kanisani kila Jumapili Nyie kama Mnarejea Si Mngebaki Tu Nyumbani Mkajisomea Biblia huwa Mnaenda Huko Kufanya Nini

Sasa Nikikuambia Fanya Hivi Utapata Masomo Yahusuyo Utu na Mwanzo wa Binadamu unaona Kazi sana. Wewe Baki Huko Ulipo Ndugu Yangu Sijalazimisha Mtu Kutafuta Elimu yeyote zaisi ya Aliyonayo
 
Kwa nini unaleta masharti kwenye maandiko ya mababu zako, weka maandiko tuyasome? nikiwa na maswali ndio nakuuliza
kama hakuna maandiko kiri hakuna na ni fasihi simulizi ndio ipo , na hata kama ni simuliza weka hapa tusikilize
Nimeshakuambia Kila Kitu Kipo Wewe ndio unaleta Masharti Humu mi sina Masharti. Nimekuambia Kuna Kitabu Kinaitwa SENDE ESUPRY DEWO OCHI. Na Zipo Audio Toka Mwaka 2020 zipo Telegram hutaki Kufuata Unataka niziweke Humu. Ndugu Tutumie Akili basi KIDOGO Ulizojaliwa
 
Kwa sababu hizi ndio dini kubwa zinazofamika na watu wengi Tanzania
Hivi kwanini huwa mnawatazama watu wa dini tu tena wakristo na waislamu tu, wenye imani tofauti na hizo mbona hamuwatizami? na wale wasioamini Mungu au dini mbona hamuwaubilii?
 
Musa Anadini Yake
Yesu ana dini Yake

Huo Mtiririko unaupataje.. Wakati Yesu alikuja na Mambo yake na Musa Alikuwa na Mambo Yake

Mnaenda Kanisani kila Jumapili Nyie kama Mnarejea Si Mngebaki Tu Nyumbani Mkajisomea Biblia huwa Mnaenda Huko Kufanya Nini

Sasa Nikikuambia Fanya Hivi Utapata Masomo Yahusuyo Utu na Mwanzo wa Binadamu unaona Kazi sana. Wewe Baki Huko Ulipo Ndugu Yangu Sijalazimisha Mtu Kutafuta Elimu yeyote zaisi ya Aliyonayo
Tunaenda kanisani, na tumeshika rejea ambayo ni biblia

nimekutaka jambo moja tu weka rejea ya mabu zako unarusha mateke kwa nini?
 
Nimeshakuambia Kila Kitu Kipo Wewe ndio unaleta Masharti Humu mi sina Masharti. Nimekuambia Kuna Kitabu Kinaitwa SENDE ESUPRY DEWO OCHI. Na Zipo Audio Toka Mwaka 2020 zipo Telegram hutaki Kufuata Unataka niziweke Humu. Ndugu Tutumie Akili basi KIDOGO Ulizojaliwa
Kwa hiyo kwa sababu nyie ni mababu hamtaki kutumia technology kuweka kitabu kwenye soft copy?
 
Tunaenda kanisani, na tumeshika rejea ambayo ni biblia
Sasa Kama Una Biblia unaenda Nayo Kanisani kufanya Nini si ubaki nayo Nyumbani Tu Uisome.

Mimi nikikuambia Kuna Sehemu Uenxe Ukajifinze Zaidi unataka Kila Kitu Kiwekwe humu

nimekutaka jambo moja tu weka rejea ya mabu zako unarusha mateke kwa nini?

Unataka Kitabu kilicho katika Hardcopy kiwekwe JF unataka Audio zaidi ya 500 ziwekwe Humi JF ndugu yangu. Unataka Maandiko Niya-copy na Kuyaweka Humu

Hivi ndugu yangu utaonekana unatumia Akili Timamu kweli. Mbona Hao Wazungu waliokuletea Kitabu Hucho Hukuwaambia Siendi Kanisani nataka mnipe Kila Kitu hapa Hapa
 
Kwa hiyo kwa sababu nyie ni mababu hamtaki kutumia technology kuweka kitabu kwenye soft copy?
Wewe ndugu Yangu unahitaji Elimu Kwanza Ya Kuishi kabla Ya Elimu ya Mungu. Nimekuambia Kipo Kitabu na Zipo Audio na Maandishi Yapo Kwenye Technology ya Whatsapp na Telegram. Wewe Technology uliyoiona Ni Softcopy tu

Hujui hata Biblia ina Audio [emoji345]
 
Back
Top Bottom