Ulishadai mnamaandiko yenu ya mababu, na ukaweka kabisa binadamu wa kwanza kulingana na mababu zakoMaelezo yapo tayari. Ww ndio umedandia kwa mbele ndugu.
weka link tusome na tujifunje dini yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishadai mnamaandiko yenu ya mababu, na ukaweka kabisa binadamu wa kwanza kulingana na mababu zakoMaelezo yapo tayari. Ww ndio umedandia kwa mbele ndugu.
Yesu hawezi kuwa Mungu..Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!
Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.
Yesu ni Mungu.
Na hajawahi kuwa MunguYesu sio Mungu..
Mimi sina Dini Ndugu. Nimeshawaambia Wana JF humu ndani utaratibu upoje na Kama Ungekuwa unafuatilia Mjadala vizuri ungeshafika Huko na Kupata Kitabu na Vingine. Ila ww unadhani kila kitu kipo kwenye internetUlishadai mnamaandiko yenu ya mababu, na ukaweka kabisa binadamu wa kwanza kulingana na mababu zako
weka link tusome na tujifunje dini yako
Imeandikwa wapi yesu ni MunguImeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?
Dini yako ulishasema ni mababu na nimekufuatilia, kikubwa unapinga dini zingine na unaamini mababu na hapo hapo unasema huna rejea yoyoteMimi sina Dini Ndugu. Nimeshawaambia Wana JF humu ndani utaratibu upoje na Kama Ungekuwa aunafuatilia Mjadala vizuri ungeshafika Huko na Kupata Kitabu na Vingine. Ila ww unadhani kila kitu kipo kwenye internet
Ndugu yangu toka Lini mababu walikuwa na Dini!? Dini ni hizo Mlizopo nyie. Kuna Mwana JF nishamuelekeza Sehemu na Keshaungwa Huko Telegram ila Wewe unachotaka Ni Ubishi tubishane..Dini yako ulishasema ni mababu na nimekufuatilia, kikubwa unapinga dini zingine na unaamini mababu na hapo hapo unasema huna rejea yoyote
Kitu kingine Yesu Pia Aliwakuta Wayahudi wapo na Dini yao waliyoachiwa na Musa. Ungejiuliza Kwanza Kwanini Alikuja Wakati aliwakuta na Dini yao kabla Hujaniuliza Mimi hilo SwaliDini yako ulishasema ni mababu na nimekufuatilia, kikubwa unapinga dini zingine na unaamini mababu na hapo hapo unasema huna rejea yoyote
Kwa hiyo kilele zako humu ni unataka watu waungwe telegram, yani huna material yoyote ya mababu zako?Ndugu yangu toka Lini mababu walikuwa na Dini!? Dini ni hizo Mlizopo nyie. Kuna Mwana JF nishamuelekeza Sehemu na Keshaungwa Huko Telegram ila Wewe unachotaka Ni Ubishi tubishane..
Mbona Mkiw Huko Huwa mnaenda Sehemu mnafundishwa
Mbona Huwa mnanunua Biblia na Vitabu vingine
Ila Mimi Nakuambia Fany Hivi na Vile Unataka Viwekwe Kila Kitu Humu
Mtiririko wa kuanza musa mpaka Yesu upo wazi kasomeKitu kingine Yesu Pia Aliwakuta Wayahudi wapo na Dini yao waliyoachiwa na Musa. Ungejiuliza Kwanza Kwanini Alikuja Wakati aliwakuta na Dini yao kabla Hujaniuliza Mimi hilo Swali
Ndio maana Nimekuambia Wewe upo Kwa Ajili ya Kubishana. Unadhani Unaweza Kutaka Vile Akili Yako Inataka ifanyiwe. Umeambiwa Ipo Huko ndio na WhatsApp pia. Ila Unataka Uwekewe hapa Masomo kuanzia 2020 UKIDHANI elimu hiyo ni Ya siku mbili au Moja unaelewa.Kwa hiyo kilele zako humu ni unataka watu waungwe telegram, yani huna material yoyote ya mababu zako?
Material ya mababu zako yanapatika only telegram?
Kwa nini unaleta masharti kwenye maandiko ya mababu zako, weka maandiko tuyasome? nikiwa na maswali ndio nakuulizaNdio maana Nimekuambia Wewe upo Kwa Ajili ya Kubishana. Unadhani Unaweza Kutaka Vile Akili Yako Inataka ifanyiwe. Umeambiwa Ipo Huko ndio na WhatsApp pia. Ila Unataka Uwekewe hapa Masomo kuanzia 2020 UKIDHANI elimu hiyo ni Ya siku mbili au Moja unaelewa.
Mi sikulazimishi Chochote ndugu yangu. Kama Unaona Ni Kelele baki huko ulipo tu
Musa Anadini YakeMtiririko wa kuanza musa mpaka Yesu upo wazi kasome
Hapa unaweza ku challenge na kuuliza maswali ya biblia maana rejea ipo
Ila tukitaka kusoma rejea za mababu zako unaleta masharti mpaka ya kujiunga telegram?
Nimeshakuambia Kila Kitu Kipo Wewe ndio unaleta Masharti Humu mi sina Masharti. Nimekuambia Kuna Kitabu Kinaitwa SENDE ESUPRY DEWO OCHI. Na Zipo Audio Toka Mwaka 2020 zipo Telegram hutaki Kufuata Unataka niziweke Humu. Ndugu Tutumie Akili basi KIDOGO UlizojaliwaKwa nini unaleta masharti kwenye maandiko ya mababu zako, weka maandiko tuyasome? nikiwa na maswali ndio nakuuliza
kama hakuna maandiko kiri hakuna na ni fasihi simulizi ndio ipo , na hata kama ni simuliza weka hapa tusikilize
Hivi kwanini huwa mnawatazama watu wa dini tu tena wakristo na waislamu tu, wenye imani tofauti na hizo mbona hamuwatizami? na wale wasioamini Mungu au dini mbona hamuwaubilii?
Tunaenda kanisani, na tumeshika rejea ambayo ni bibliaMusa Anadini Yake
Yesu ana dini Yake
Huo Mtiririko unaupataje.. Wakati Yesu alikuja na Mambo yake na Musa Alikuwa na Mambo Yake
Mnaenda Kanisani kila Jumapili Nyie kama Mnarejea Si Mngebaki Tu Nyumbani Mkajisomea Biblia huwa Mnaenda Huko Kufanya Nini
Sasa Nikikuambia Fanya Hivi Utapata Masomo Yahusuyo Utu na Mwanzo wa Binadamu unaona Kazi sana. Wewe Baki Huko Ulipo Ndugu Yangu Sijalazimisha Mtu Kutafuta Elimu yeyote zaisi ya Aliyonayo
Kwa hiyo kwa sababu nyie ni mababu hamtaki kutumia technology kuweka kitabu kwenye soft copy?Nimeshakuambia Kila Kitu Kipo Wewe ndio unaleta Masharti Humu mi sina Masharti. Nimekuambia Kuna Kitabu Kinaitwa SENDE ESUPRY DEWO OCHI. Na Zipo Audio Toka Mwaka 2020 zipo Telegram hutaki Kufuata Unataka niziweke Humu. Ndugu Tutumie Akili basi KIDOGO Ulizojaliwa
Sasa Kama Una Biblia unaenda Nayo Kanisani kufanya Nini si ubaki nayo Nyumbani Tu Uisome.Tunaenda kanisani, na tumeshika rejea ambayo ni biblia
nimekutaka jambo moja tu weka rejea ya mabu zako unarusha mateke kwa nini?
Wewe ndugu Yangu unahitaji Elimu Kwanza Ya Kuishi kabla Ya Elimu ya Mungu. Nimekuambia Kipo Kitabu na Zipo Audio na Maandishi Yapo Kwenye Technology ya Whatsapp na Telegram. Wewe Technology uliyoiona Ni Softcopy tuKwa hiyo kwa sababu nyie ni mababu hamtaki kutumia technology kuweka kitabu kwenye soft copy?
Humu JF kuna watu wa imani mbalimbali na watu wenye misimamo tofauti ambao huwezi kuwaona huko uraiani.Kwa sababu hizi ndio dini kubwa zinazofamika na watu wengi Tanzania