😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀kama mbunge akitunga sheria ya kuzuia rushwa siku akitoa rushwa hana kosaa??Dhambi ni kwenda kinyume na matakwa ya Mungu. Hence, kwake dhambi si kitu na haina maana kabisa!
i.e 1 ÷ 0 = undefined expression
Ni sawa na wewe uweke sheria kwako kuwa mwisho wa wanafamilia kuingia ndani ni saa moja, halafu wewe uingie saa tatu
Sijuwi mumenielewa!
Kwa kuwa dhambi ni tendo chukizi mbele ya Mungu. Yeye sasa ndo kashakuwa Mungu hivyo
Hapana.Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
SijakuelewaHapana.
Kila kitu kinatengenezwa na Binadamu mwenyewe!
Mungu humgawia mtu kile anachokiomba...
Sodoma na Gomora haitofautiani na Climate Change effects tunazokutana nazo leo!
Hizi tumezitengeneza wenyewe...
Ni kweli
Mungu ni UPENDO!
HANA NA WALA HANA SABABU YA KUTENDA DHAMBI...na by the way...Dhambi dhidi ya nani?
Mungu ni all powerful creator, dhambi ni ukiukaji wa sheria alizoziweka MunguMungu ni nan dhambi ni nini tuanzie apo kwanza , coz kuna vtu kwa wengne ni okey kwa wengne sio okey
Mi sina la kumfanya, sema nlitaka kujua tu kama huo uwezo wa kutenda dhambi anaokama anaweza kwenda kinyume na sheria zake mwenyewe basi anaweza kutenda dhambi , nahata akitenda dhambi ww utafanya nini labda?
Wewe si nmekuuliza sifa za kitu kuwa hai ni nini?umesema kiwe na roho.Majani na miti ni kitu kimoja ndio vina uhai katika kiwango cha mimea lakini sio roho
Mfano ukijiwekea sheria kwamba hautakuwa unakunywa soda. Siku ukijisahau ukanywa si utagundua umefanya makosa?Sasa hiyo dhambi atakuwa kamtendea nani wakati hawajibiki kwa kiumbe chochote?
Ahaa kumbe kwenda kinyume cha sheria za mungu ndio kutenda dhambi ..Sasa Je mungu mwenyewe hawezi kwenda kinyume na sheria zake?Kulitaja jina lake bure...
Moja ya kosa ni hilo ambalo lipo pia katika Amri za MUNGU
Ukienda kinyume na amri za MUNGU unakuwa umeshamkosea...
Tatizo watu wamezikariri amri ila hawaziishi
BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE
Kwani kuna sehemu imeandikwa dhambi ni kwaajili ya wanadamu tu?Muongozo wa sheria aliouweka Mwenyezi Mungu unaendana na umbile lako na ndo mana hukumu ya wanyama haiwezi kuwa sawa na ya binadamu japo tafsiri ya tendo atakalo lifanya mnyama inaweza ikiwa sawa na binadamu lakini kwao isiwe dhambi ila kwako ikawa ni dhambi. Kwahiyo kauli yako ya kusema Mungu kutenda dhambi tayari umeshakufuru kwa kumshusha na kumlinganisha na viumbe vyake Mwenyez Mungu ametakasika na hilo.
Yeye hawezi kwenda kinyume na matakwa yake mwenyewe?
Swali la mwanafunzi kumuuliza mwalimu kama anaweza kufeli mbona linamake sense?Swali lako ni sawa na mwanafunzi kumuuliza mwalimu hivi unaweza kufeli mtiani? Wakati huo mtiani upo kwa ajili ya mwanafunzi na mwalimu ni mtunzi na msahihishaji.
Dhambi ni uasi wa sheria. Sheria zipo kwa ajili ya binadamu.Yeye ndo anazifata au kuzivunja na mtunzi na anayehukumu ni MUNGU.
Waliniambia nisifanye ngono mpaka nikioa...kwahyo wao kwasababu wameoana walifanya na sikuwaona kama wanafiki.Baba/mama yako alipokuwa anakukanya usifanye ngono huku wao wakifanya walikuwa wanavunja sheria zao wenyewe? Sheria ni kwa ajili yako sio kwa ajili ya MUNGU.
Kama zipi?Ametenda nyingi tu
Wewe ni muumini wa dini gani?Kwani kuna sehemu imeandikwa dhambi ni kwaajili ya wanadamu tu?