Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.

Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..

Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.

Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.

Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
 
Vichaa wengine bwana yaani Mungu azungumze kwaajili ya wajinga kama waTanzania kweli??
 
Mungu anatujua vizuri zaidi maana yeye anayajua mpaka yaliyojificha mioyoni mwetu (chuki tu za kidini, kikanda, uongo, fitina, wivu n.k). Siajabu anajua fika kuwa wanapiga kelele kuhusu Samia ndiyo wabaya zaidi na wanafiki haswaaaaa ndo maana anawafelisha mipango yao. Vidole vyao vinatype manane haya kumbe rohoni mwao na akilini wanalenga kitu kingine kabisa. Ukijiuliza kigeni nini haswa Sasa hivi kinachofanya kelele zizidi hivi zaidi ya miaka ya 2019-2021 utapata jibu kuwa hata hakuna kilichozidi isipokuwa UNAFIKI NA UDINI TU.
 
Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.

Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..

Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.

Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.

Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
RIP
 
Ingewezekana ki bodi woriaz tukaingia kwa rodi, nchi ingekombolea kabla ya saa 4 asubuhi wallah
Uko sahihi sana, ata ggwajima katoa siku mpaka zimeisha hakuna kilichojiri, dharau ziko palepale, utekaji uko palepale, dawa yake tungejaa kwa road viburi vingewaisha, aya leo tarehe28 kwa dharau kubwa nasikia watakua tanganyika packers' wakitukebei.
Kifupi sisi c chochote kwao, tutulie kitulambe
 
Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.

Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..

Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.

Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.

Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
Amen✝️
 
1756346397012.jpg
 
Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.🤔
 
Back
Top Bottom