Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
 
Asante kwa kutufariji! Naona mambo ni yale yale.
Ni sawa na kungoja Mungu ashushe mkate bila wewe kujishughulisha kuutafuta.
Acha watanganyika tufie mashimoni kama Panya,tukisubiri Mungu ashuke amfunge Paka kengele shingoni,au amwue!
 
🤣🤣🤣.mtibeli kwenye ubora wako.
Mtibeli ile tarehe yako bado?siku zinaenda hizi na jamaa bado yupo ndani Fanya kweli
 
Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.

Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..

Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.

Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.

Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni njozi njema mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
Njozi njema
 
Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache
2015 haadi 2020 tuliyalilia sisi huku wewe na wenzako mkishupali kejeli, jeuri, kiburi n.k.

Kibao kimegeuka tulia Braza. Acha unabii.
 
Uko sahihi sana, ata ggwajima katoa siku mpaka zimeisha hakuna kilichojiri, dharau ziko palepale, utekaji uko palepale, dawa yake tungejaa kwa road viburi vingewaisha, aya leo tarehe28 kwa dharau kubwa nasikia watakua tanganyika packers' wakitukebei.
Kifupi sisi c chochote kwao, tutulie kitulambe
Hahaha... Hawa jamaa bwana wamesahau tu. Muda si mrefu walikuwa wanadai Mtu wao alikuwa chaguo la Mungu. Waache sisiemu iendeleee tu kama ambavyo na wao waliipigania kwa nguvu zote.
 
Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
Amen🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom