Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.

Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..

Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.

Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.

Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
wewe ni nabii tito aka Lema?
 
J
Usimalize maneno.
Weka akiba usije jutia na kutamani usingetamka au kuandika hivi.
Haya leta majibu uliyeongea na Mungu,acheni kuishi kwa imani za kijinga bali kwa uhalisia wa matikio,tangu lini Mungu akaongea na nyie wanafiki?jitambue basi!!
 
J
Haya leta majibu uliyeongea na Mungu,acheni kuishi kwa imani za kijinga bali kwa uhalisia wa matikio,tangu lini Mungu akaongea na nyie wanafiki?jitambue basi!!
Kuna mahali nimesema mimi nimeongea na Mungu?
Zingatia pamoja na kukuuliza hilo swali sikatai imani yangu kuwa nina amini Mungu yupo.
 
Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.🤔
Ebo,Mungu akizungumza na taifa si ni pamoja na wewe au wewe siyo mmoja wa wana taifa?
 
Alichoongea na taifa Mungu ni kipi turejee hapo ili waafrika waelewe kuwa kwa sasa utapeli na vitisho vyenu havina nafasi
 
Back
Top Bottom