Majini gani? Nani anafuga majini?muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu.
Vichaa wengine bwana yaani Mungu azungumze kwaajili ya wajinga kama waTanzania kweli??Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.
Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..
Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.
Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.
Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
labda angalau majirani kdogo anaweza piga chafyaVichaa wengine bwana yaani Mungu azungumze kwaajili ya wajinga kama waTanzania kweli??
Watanzania hawana tofauti na Wahadzabe wakina Chaba na mwenzie wanakula nyani na ngedere maisha duniwajinga kama waTanzania kweli??
oho kumbe basi endeleeni kukaza fuvu hivyo hivyoVichaa wengine bwana yaani Mungu azungumze kwaajili ya wajinga kama waTanzania kweli??
Usimalize maneno.Vichaa wengine bwana yaani Mungu azungumze kwaajili ya wajinga kama waTanzania kweli??
RIPMungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.
Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..
Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.
Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.
Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
Uko sahihi sana, ata ggwajima katoa siku mpaka zimeisha hakuna kilichojiri, dharau ziko palepale, utekaji uko palepale, dawa yake tungejaa kwa road viburi vingewaisha, aya leo tarehe28 kwa dharau kubwa nasikia watakua tanganyika packers' wakitukebei.Ingewezekana ki bodi woriaz tukaingia kwa rodi, nchi ingekombolea kabla ya saa 4 asubuhi wallah
Amen✝️Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.
Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na Mungu kama Farao na wenzake ila ameacha magofu ya tawala zao hata siku ya kiama dunia inaona maafa na majanga yakushindana ma Mungu..
Mungu anasema haki italiinua Taifa ila ole wa yule anachukua haki ya mnyonge Mungu anaya angalia maneno ya Baba Wa Taifa la Tanzania akaiponye nchi. Ikiwa wazee na wenye mamlaka mtashindwa kusimamia haki basi Yeye atashuka nakusimamia haki maama Yeye ndio mwenye Taifa hili na hataki dam ya mtanzania imwagike kwa tamaa na uchu wa madaraka wa watu wachache.
Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.
Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.

Mungu akishuka kusimamia haki itakuwa ole kwa alie vunja haki wana wa Tanzaia. Wazee wa Taifa hili wanalia mbele za Mungu na Malaika wa Mungu atashuka 28.08.2025 kusimamia haki kwa namna hamkuwahi kuiona wala kushuhudia tangu uwepo wa Taifa hili.🤔Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania.