Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

Mungu anazungumza na Watanzania msifanye fujo msiumizane YEYE atatenda haki na atateguwa kitendawili tulieni mkisali muone kati ya majini na Mungu nani ananguvu. Mungu anarudia moyo wake kamwe haujawahi shindana na mwanadam na kama yupo anabisha basi atafute mashujaaa na wababe wa dunia wapi wapo. Ndipo mtajuwa yeye ni Mungu. Na hatanii. Amen
 
Asante kwa kutufariji! Naona mambo ni yale yale.
Ni sawa na kungoja Mungu ashushe mkate bila wewe kujishughulisha kuutafuta.
Acha watanganyika tufie mashimoni kama Panya,tukisubiri Mungu ashuke amfunge Paka kengele shingoni,au amwue!
 
🤣🤣🤣.mtibeli kwenye ubora wako.
Mtibeli ile tarehe yako bado?siku zinaenda hizi na jamaa bado yupo ndani Fanya kweli
 
Njozi njema
 
2015 haadi 2020 tuliyalilia sisi huku wewe na wenzako mkishupali kejeli, jeuri, kiburi n.k.

Kibao kimegeuka tulia Braza. Acha unabii.
 
Hahaha... Hawa jamaa bwana wamesahau tu. Muda si mrefu walikuwa wanadai Mtu wao alikuwa chaguo la Mungu. Waache sisiemu iendeleee tu kama ambavyo na wao waliipigania kwa nguvu zote.
 
Amen🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…