Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

Hivi hivi Wakolini walitunia dini kutytawala, sasa minority wa Tanzania wanataka kutumia dini kujipenyeza serekalini
 
Hapa asichelewe atufanyie faster faster basi
 
Usimalize maneno.
Weka akiba usije jutia na kutamani usingetamka au kuandika hivi.
Wewe ndiyo mjinga usiyejitambua ambaye bado unadhani Mungu huwasaidia wajinga msiojitambua,yaani akupe akili na uelewa halafu aje tena akusemee wewe ni kichaa haswa!!
 
Wewe Wewe ni kichaa bwana kalale kanisani umsubiri
 
Amka wewe utajinyea, unadhani na huyu atauliwa na wahuni 🤣🤣🤣
 
Nyerere alijuwa watu kama, kazi yenu ni vitisho vya kalele za hovyo za huyooo huyoooo, mchinjeee, mchinjeee mkidhani mtu ataogopa kutekeleza aliyoamua kutekeleza yenye maslahi kwa wengi na hasara kwa wachache wakiwepo wanaopiga kelele za ******* za kuogofya watu. Kumbuka kuwa Mungu wa Simba, fisi na chui ndiye huyohuyo Mungu wa sawala, nyumbu na nguruwemwitu pia. Hiyo ni kuonyesha kuwa kila kitu ni mpango wa Mungu tu. Wewe kazi yako ni kushukuru kwa kila jambo.
 
Ni kuangalia yanayoendelea Gaza na tulia ila Mungu muweza
 
Leo ingekua siku nzuri sana ya maandamano tungeanzia pale pale Tanganyika packers
ilikuwa siku nzuri sana ilibidi tuvae tshirts za kijani tujimix mle alafu maandamano yaanze hapo hapo
najua kuna ccm wangetuunga 😅😅😅😅issue ni mnaorganise vipi bila wao kujua
 
Kashuka tayari na kasemaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…