Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Najiona kwenda kuangukia kwenye ugonjwa wa moyo kutokana na changamoto za huyu mwanamke. Nimekosea sana kupuuzia baadhi ya mambo kipindi cha uchumba nikidhan atabadilika.
Nakili nimekosea sana.
- Anamatumizi mabaya ya hela.
- mvivu
- anakiburi
- ukimuelekeza anaona anaonewa
Nakili nimekosea sana.