Mungu anipe nguvu ya kupuuzia mambo ili kuokoa afya yangu

Kama ni mkimya, uvivu na kiburi ni vitu asilia, tatizo hapo naona ni matumizi mabaya, jambo ambalo ukilitilia mkazo linatatulika.
 
Kumbuka viapo mlivoapa wakat mnaoana ni kuvumiliana ndoa ni uvumiilivu maana mmekutana watu wenye tabia tofaut tofaut

Huwez mkunja samaki aliyekaangwa
 
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Rais,Mbunge,Diwani Ujue Mpaka Miaka 5 Iishe

Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua, Kwani Mbunge Wa Hapa Ni Nani

By Mzilankende
 
Kumwacha sio suluuhu,hata wa kwangu yupo hivyo ,Kuna muda atabadilika ,mzalishe watoto watatu kwanza ,utaona anaanza kuacha tabia za kipuuzi na kuwa mama.
wako ameshabadilika au yuko hivyo hivyo?
 
Asiposikiliza huu ushauri tutamzika
 
Ukweli mtupu

Asee pole,Mimi red light zilianza mapema,kwao kwenda hataki,Sasa tuna watoto 3,tabia ndo Kama hizo,Sasa nashughulika na wanangu tu,na sijali.

Nakushauri,kama hujazaa naye mwache tembea mbele.

Nina mpango wa kuhama kimyakimya
Ukweli mtupu

Asee pole,Mimi red light zilianza mapema,kwao kwenda hataki,Sasa tuna watoto 3,tabia ndo Kama hizo,Sasa nashughulika na wanangu tu,na sijali.

Nakushauri,kama hujazaa naye mwache tembea mbele.

Nina mpango wa kuhama kimyakimya
Pole Mkuu, atakutesa sana
 
Mpe Hela robo robo au nunua mwenyewe hasta chumvi,yaani ukitoka hemea vya msingi mtaani mpe boda boda apeleke!

Mengine Hela kidogo kidogo unampa au mnunulie vya msingi!!

Hawana uwezo wa kujitawala kwenye hela!!
 
Mpe Hela robo robo au nunua mwenyewe hasta chumvi,yaani ukitoka hemea vya msingi mtaani mpe boda boda apeleke!

Mengine Hela kidogo kidogo unampa au mnunulie vya msingi!!

Hawana uwezo wa kujitawala kwenye hela!!
Kumbe upo Mkuu?
Nimefurahi kukuona tena.
Anyway, ushauri mzuri sana huu kwa ndugu yetu.
 
There are always red flags ila huwa tunaziignore.
Ndoa ina muda gani?
Mimi niko kwa mahusiano na mtu nilitaka nije kumuoa ila sasa siwezi kwa sababu yeye ana assumptions. Yani anaweza kufikiria kitu akakiamini na akashikiria msimamo kuwa unamcheat kwa sababu yeye hisia zake huwa hazidanganyi. Yani hana ushahidi ila ushahidi ni hisia zake.
Pia mgomvi mgomvi anafanya kazi hospitali huwa sipendi anavyowafokea wagonjwa na majibu yake ya kibabe babe kwa wagonjwa namwona ni mtu asiye na huruma.
Nikipiga hesabu zangu naona kumuoa itakuwa kisanga huko mbele.
 
S
Sasa kwa nini usimpe talaka arudi kwao?,nawe utafute mwengine?
Au ndio upo kwenye ile dini,kunywa pombe ila hautakiwi ulewe.
Maaana huko hakuna kuachaa nasikia😄
 
Muache. Au huwezi unaogopa jamii itakuonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…