Mungu anipe nguvu ya kupuuzia mambo ili kuokoa afya yangu

Jipende wewe kwanza usimfuatilie utakufa bure uache watoto.
 
S

Sasa kwa nini usimpe talaka arudi kwao?,nawe utafute mwengine?
Au ndio upo kwenye ile dini,kunywa pombe ila hautakiwi ulewe.
Maaana huko hakuna kuachaa nasikiašŸ˜„
Unavyosema hakuna kuachana una maanisha nini?
Kwamba ukisepa zako kuna mtu atakulazimisha urudi?. Kuachana na mtu ni maamuzi tu
 
Well said....
 
Unavyosema hakuna kuachana una maanisha nini?
Kwamba ukisepa zako kuna mtu atakulazimisha urudi?. Kuachana na mtu ni maamuzi tu
Ivo yaan ...hakuna pingamizi...ni wewe tu uamue kukaa
 
Mpandishe cheo awe mke wa pili, tafuta pisi kali zaidi yake , adui mkuu wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…