MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Uzi ufungwe..umeutendea haki.Samia wakati anagombea urais alikebehi tukio la Lissu kupigwa risasi 36 akasema police wao (soma polisiccm) hawawezi piga mtu risasi 36 asife. Akaifanya hivyo kazi hana.
Leo kiko wapi? Polisi wao (soma polisiccm) wametumia risasi zizsizo na idadi na bado wameuwawa. Malipo ni hapa hapa
kushitukizwa ni kuwa ulikuwa umejisahau.. relaxedpolisi walio uwawa walishtukizwa. Fuatilia vizuri tukio.
Nimeona vipande tofauti tofauti kama vinne hivi. Tekinolojia inasaidia sana mkuu.Jamaa unavyosimulia ni kama ulishuhudia kila hatua
Nimeona vipande tofauti tofauti kama vinne hivi. Tekinolojia inasaidia sana mkuu.
Polisi hawajui kulenga shabaha ni hatari sana anyway walikuwa wanamtishia tu hawakutaka kuuwa nadhani Teh tehh.Mapema september mwaka 2020 wakati wa campeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.
Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekua mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.
Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakua tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari. Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.
Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Siro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.
Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukusea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Huhitaji kuambiwa ,jinsi suruali na sketi zilivyochafuka!Tusimulie basi na wale abiria waliokuwa stranded kwenye lile basi la Eicher walikuwa katika hali gani!! 😁
Unaelewa tofauti ya usalama na amani?Amani tuliyonayo ndo sababu ya kuwa na watu kama wewe Yani unahisi kila jambo linawezekana simple tu kama life style yako ilivyo simple.
Matukio kama haya yanatokea hata kwa nchi zilizoendelea, mfano mdogo tu ni yule Rais wa ufaransa aliyepigwa na raia, unazani lile eneo halikuwa na ulinzi?