Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,416
- 10,019
Kuna watu kusoma na kuelewa hawajui.Umesoma au ndio unatoka kulala ndugu?

Ninavojua mimi dereva alilipeleka car wash moja kwa moja alipotoka pale!Tusimulie basi na wale abiria waliokuwa stranded kwenye lile basi la Eicher walikuwa katika hali gani!! 😁
kujisahau ukiwa kazini ni uzembekushitukizwa ni kuwa ulikuwa umejisahau.. relaxed
HahahhahaMbona tayari na kitambulisho cha uanachama wamemtengenezea!
View attachment 1908148
Lema mpumbavu sana aiseenashukuru uzi kama huu uko huku jukwa la siasa,means ni kwamba kila kitu hapa kitajadiliwa kisiasa zaidi.
hongereni wanasiasa.View attachment 1908145
nashukuru uzi kama huu uko huku jukwa la siasa,means ni kwamba kila kitu hapa kitajadiliwa kisiasa zaidi.
hongereni wanasiasa.View attachment 1908145
Kwa kipande kile Cha video yule aliyemuendea muhalifu ndio shujaa! Jeraha alilopata Mungu amsaidie lipone haraka.Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.
Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekuwa mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.
Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakuwa tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari.
Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.
Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Sirro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.
Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukosea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Nampongeza huyo jambazi kwa kuua wafuasi wa ccm!
Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.
Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekuwa mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.
Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakuwa tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari.
Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.
Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Sirro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.
Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukosea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Ninavojua mimi dereva alilipeleka car wash moja kwa moja alipotoka pale!
Kwa kipande kile Cha video yule aliyemuendea muhalifu ndio shujaa! Jeraha alilopata Mungu amsaidie lipone haraka.
Amefanikiwa kumtoa muhalifu mafichoni, muhalifu akapeleka umakini wote kwake kitu ambacho kilitakiwa kuwasaidia hawa askari wengine kumlenga. Lakini matokeo yake jamaa ameishia kuumizwa
Huyu askari hata yeye atakuwa shuhuda mzuri wa ubovu, uoga na udhaifu mkubwa wa askari wenzake maana amepata majeraha kwasababu yao na angeweza hata kuuliwa huku wenzake wamejificha nguma ya kutu za majengo ya ubalozi
Mi najiuliza tu, huyu mpuuzi angekuwa na wenzake watatu leo nchi ingekuwa inaongea mengine
Yaani nacheka kama vile ni mazuri. Wonders shall never ....Wasije kusema wamemkuta mfukoni na kadi ya Chadema tu [emoji27][emoji27][emoji27]
Huyu ni m CCM kindakindaki ogWasije kusema wamemkuta mfukoni na kadi ya Chadema tu [emoji27][emoji27][emoji27]
Asante kwa hili mi nimeichukia siku hii kwa poor approach and poor execution ya tukio. Nina hasira mbaya, inaonekana kuna ubahili sana jeshini kwenye mazoezi ya kutumia risasi kupractice shabaha, coordination and organisation was extremel poorMapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.
Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekuwa mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.
Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakuwa tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari.
Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.
Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Sirro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.
Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukosea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Kinyume chake, Amani ni tunda la HAKI; Peace is not the absence of War, but the prevalence of JUSTICE.All in all... ukweli husimama daima..... usipande mawe ukategemea kuvuna mahindi.
Haki ni tunda la amani.. hivo yani