MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
- Thread starter
- #21
Uwezo wao ulivyoWasije kusema wamemkuta mfukoni na kadi ya Chadema tu [emoji27][emoji27][emoji27]
Uwezo wao ulivyoWasije kusema wamemkuta mfukoni na kadi ya Chadema tu [emoji27][emoji27][emoji27]
KabisaJamaa angekua na viji tekiniki vya kijeshi angeua askari wengi sana.
Sema na yeye alizubaa kidogoPolisi wetu wanatamba na kutunisha vifua mbele ya raia wasio na silaha tu, kwenye silaha wanavizia vizia, hata hivyo tumpongeze yule aliyejitoa na kwenda front.
Mbona unajistukiaWasije kusema wamemkuta mfukoni na kadi ya Chadema tu [emoji27][emoji27][emoji27]
walikuwa na mharo wa tumbo la hali ya juu kila waliposikia pa pa pa paa.. na wengine walijua ni zamu yao sasa...Tusimulie basi na wale abiria waliokuwa stranded kwenye lile basi la Eicher walikuwa katika hali gani!! 😁
Bomu la machozi lilimpoteza Ila jamaa anaonekana alipitia mafunzoJamaa angekua na viji tekiniki vya kijeshi angeua askari wengi sana.
Nalo neno eti??Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.
Hukuelewa kabisa kabisa alichoandika ndiyo maana unatoa mfano usioendana!Amani tuliyonayo ndo sababu ya kuwa na watu kama wewe Yani unahisi kila jambo linawezekana simple tu kama life style yako ilivyo simple.
Matukio kama haya yanatokea hata kwa nchi zilizoendelea, mfano mdogo tu ni yule Rais wa ufaransa aliyepigwa na raia, unazani lile eneo halikuwa na ulinzi?
Hili limefanya watu wengi wacheke. Ameshaanguka na kufa lakini jamaa ndiyo kwaaanza wanafyatua. Tukubali tukatae polisi wetu wana udhaifu sana. Ni kwa sababu mawazo na malengo yao wameyaweka kwenye kuonea raia wasio na hatia wala silaha.Mhalifu amesimama barabara kama mti lakini jamaa wanapiga risasi kama wanapanda mbegu za mtama randomly!! Baada ya kumpata eti ndio wakampiga risasi nyingi za makalio... Wakamalizia hasira zao kwa maiti!
Kada wa ccm huyo kata Fire baba yake anafadhili ccmWasije kusema wamemkuta mfukoni na kadi ya Chadema tu [emoji27][emoji27][emoji27]
Mmiliki atakuwa na kazi ya ziada leo usiku kusafisha marvey kwenye iyo coaster.Tusimulie basi na wale abiria waliokuwa stranded kwenye lile basi la Eicher walikuwa katika hali gani!! 😁
Kwahiyo ulitaka wapige risasi Random ili waue raia wasio na hatia?Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.
Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekuwa mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.
Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakuwa tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari.
Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.
Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Sirro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.
Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukusea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Mbona tayari na kitambulisho cha uanachama wamemtengenezea!Wasije kusema wamemkuta mfukoni na kadi ya Chadema tu [emoji27][emoji27][emoji27]
Umesoma au ndio unatoka kulala ndugu?Kwahiyo ulitaka wapige risasi Random ili waue raia wasio na hatia?