Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

mapokezi tofauti yule mwananmke na mtoto anasema aliposhuka alisema allahu akbar na wakati wanapishana mtoto wake mmoja akamsalimu lakii alijibu kwa lugha ngeni ,wakati jambazi akimfukuza polisi alisema kwa kiswahili safi kumuamurisha polisi asmame na atampata tu hana haja ya kukimbia ,mama machweo akizidi kuelezea alisema jambazi alipiga magoti na kunyanyua mikono juu kama ishara ya kukubali kushindwa wakati kideo zote zinaonyesha jamaa akipigwa na kuanguka papohapo. hizi ndio mheho ya kuhadithia ili kutaka kuipaka dini ya Uislamu ,hivi mbowe ni Muislamu ?Dorothy Gwajima amesilimu na anaitwa Aisha.
 
Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.

Sidhani kama ni staged. Hii imetokea kwa sababu kuna jambo ambalo NATURE inalitaka kwa mamlaka za taifa letu. Haki huinua taifa, wenye mamlaka wakiwa chanzo cha kuifinya haki, hapo ndipo haki hukataa kufinyika. Tunaposhindwa kutoa haki na kupoka haki kwa makusudi, hapo ndipo tunapotrain watu kuwa dhalili kwa kuwajaza uchungu na visasi. KUMBUKA sio kila mtu ana subira na uvumilivu
 
Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.

Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekuwa mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.


Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakuwa tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari.

Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.

Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Sirro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.

Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukosea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Uko sahihi mkuu, kumbe hata hao Askari wanaomzunguka Rais wa Tozo ni misuli tu wamejazia, shabaha sifuri kabisa
 
kulikuwa na ulazima gani polisi kusogea hadi kwenye kibanda ili kutupa bomu la machozi? Standard practice ni kutumia tear gas cannister launcher kuvurumisha bomu la machozi kutoka safe distance. Polisi wamekosa mbinu kabisa.
 
Mapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.

Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekuwa mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.


Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakuwa tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari.

Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.

Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Sirro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.

Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukosea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Aliyesema askari akikosea risasi tatu anashitakiwa ajitokeze hadharani aombe radhi
 
Back
Top Bottom