Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

Jamani natafuta uzi wa uzinduzi wa jezi za wananchi yanga...siuoni!
 
Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.
 
Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.
Nalo neno eti??
 
Hukuelewa kabisa kabisa alichoandika ndiyo maana unatoa mfano usioendana!
 
Mhalifu amesimama barabara kama mti lakini jamaa wanapiga risasi kama wanapanda mbegu za mtama randomly!! Baada ya kumpata eti ndio wakampiga risasi nyingi za makalio... Wakamalizia hasira zao kwa maiti!
Hili limefanya watu wengi wacheke. Ameshaanguka na kufa lakini jamaa ndiyo kwaaanza wanafyatua. Tukubali tukatae polisi wetu wana udhaifu sana. Ni kwa sababu mawazo na malengo yao wameyaweka kwenye kuonea raia wasio na hatia wala silaha.
 
Kwahiyo ulitaka wapige risasi Random ili waue raia wasio na hatia?
 
Polisi wa Tanzania Ni mahodari wa kushuhulika na wapinzani wa CCM tu, hawana Cha ziada
 
nashukuru uzi kama huu uko huku jukwa la siasa,means ni kwamba kila kitu hapa kitajadiliwa kisiasa zaidi.

hongereni wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…