Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

Ingekuwa ndiyo labda Chadema wanafanya maandamano!! Tena bila kibali chao, Jamaa wangevurugwa kweli kweli!!
Mabomu ya machozi, maji ya kuwasha, risasi za moto na zile za mpira, vingetawala!

Ona sasa, mtu mmoja tu
kawachemsha kweli kweli mpaka pale alipoona mwenyewe inatosha! Akajitokeza barabarani, akaenda zake kuchukua mabikira wake 70 huko peponi.
 
Kwa kipande kile Cha video yule aliyemuendea muhalifu ndio shujaa! Jeraha alilopata Mungu amsaidie lipone haraka.

Amefanikiwa kumtoa muhalifu mafichoni, muhalifu akapeleka umakini wote kwake kitu ambacho kilitakiwa kuwasaidia hawa askari wengine kumlenga. Lakini matokeo yake jamaa ameishia kuumizwa

Huyu askari hata yeye atakuwa shuhuda mzuri wa ubovu, uoga na udhaifu mkubwa wa askari wenzake maana amepata majeraha kwasababu yao na angeweza hata kuuliwa huku wenzake wamejificha nguma ya kutu za majengo ya ubalozi

Mi najiuliza tu, huyu mpuuzi angekuwa na wenzake watatu leo nchi ingekuwa inaongea mengine
 

Pata kwanza taarifa sahihi kabla hujakimbilia hapa kuanzisha uzi. Unajua askari waliouwawa wameuawa wakiwa wapi na katika mazingira gani?
 
Hawa wanachoweza ni kupambana na Chadema tu ambao hawana hata jiwe mkononi
 

Inasemekana Amekufa huyo Askari
 
Asante kwa hili mi nimeichukia siku hii kwa poor approach and poor execution ya tukio. Nina hasira mbaya, inaonekana kuna ubahili sana jeshini kwenye mazoezi ya kutumia risasi kupractice shabaha, coordination and organisation was extremel poor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…