Mkuu,walikuwa na mharo wa tumbo la hali ya juu kila waliposikia pa pa pa paa.. na wengine walijua ni zamu yao sasa...
Fuatilia majibizano ya risasi kwenye kibanda cha walinzi geti la ubalozipolisi walio uwawa walishtukizwa. Fuatilia vizuri tukio.
Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.
Ndio mkuu .. ni hivo hivo ulivosemaKinyume chake, Amani ni tunda la HAKI; Peace is not the absence of War, but the prevalence of JUSTICE.
Uko sahihi mkuu, kumbe hata hao Askari wanaomzunguka Rais wa Tozo ni misuli tu wamejazia, shabaha sifuri kabisaMapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.
Natoa pole kwa ndugu na jamaaa na watanzania kwa askari wawili waliopoteza maisha leo pale Kinondoni. Pili nimeshangaa kuona mtu mmoja alivyohangaishana na askari eneo la wazi kama lile hadi kupelekea baadhi ya askari wetu kupoteza maisha. Ingekuwa mtu yule kawashtukiza askari ningekubali lakini kwa hali ya leo naingiwa mashaka.
Inakuwaje askari kupiga marisasi mengi vile huku wanakosa target? Ni silaha duni walizo nazo au uwezo wao? Wengi tutakuwa tumeona moja ya kipande cha video mtu mmoja akimkaribia yule mhalifu lakini askari wa kupatia cover hawakuwa tayari.
Anaonekana anawapa ishara kwa mkono lakini imechukua muda hadi kapigwa. Yaani mhalifu kanyanyuka mafichoni na kufyatua risasi kadhaa huku hakuna risasi ya polisi inaonekana kumpata.
Huu ni udhaifu mkubwa sana na kamanda Sirro anapaswa ajitafakari mbinu wanazotumia kupambana na uhalifu wa namna hii.
Mwisho namkumbusha mheshimiwa kuwa askari wetu wana uwezo mkubwa sana wa kukosea shabaha wala asiwakweze kwa uwezo wasio nao.
Kawajaribu mkuuUko sahihi mkuu, kumbe hata hao Askari wanaomzunguka Rais wa Tozo ni misuli tu wamejazia, shabaha sifuri kabisa
Aliyesema askari akikosea risasi tatu anashitakiwa ajitokeze hadharani aombe radhiMapema September mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mama yetu alisema askari akikosa risasi tatu anafukuzwa kazi.