Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

Zaka Yako inayo mfikia Mungu Ni Ile Ambayo Yanahitajika Matengenezo ya Kanisa Au Viti Vimeharibika Hiyo Haina tofauti na Sadaka Unayo Msaidia masikini ila nje ya hapo ni kama kuna ka harufu ka upigaji kimtindo
 
YESU KRISTO ALIFANYIKA MSAADA KWETU KWA MAANA HIYO INAMPENDEZA SANA YESU NAMI NIKIFANYIKA MSAADA KWA MASIKINI WAJANE VILEMA NA WENYE UHITAJI

ILA HUWEZI NIAMBIA YESU ETI ILE SADAKA WATU WANAYO PELEKA PALE MBELE YA MCHUNGAJI INAENDA KWA MUNGU [emoji23].

LABDA KAMA SISOMAGI BIBLIA.

WEWE NENDA KANISANI KAJIFUNZE NENO TU.

MENGINE YATAKUPASUA KICHWA TU.

MIMI KANISANI NITAENDA ILA PESA YANGU NITATOA PALE KANISA LINA UHITAJI WA MATENGENEZO NA MENGINE YA KIMSAADA WA KIBINADAM.

ILA HUWEZI NIAMBIA ETI MUNGU ANA HITAJI SADAKA YANGU YA KIFEDHA [emoji23]HAPO NIMEGOMA WAKUU.


YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
MIMI PESA YANGU NITASAIDIA WENYE UHITAJI FULL STOP.

KAMA KANISA LINAHITAJI UINJILIST NITANUNUA VIFAA VYA UINJILIST KAMA NI CHAKULA CHA WAINJILIST NITANUNUA CHAKULA CHA KULA WAINJILIST FULL STOP.

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
Injili bila pesa itaendaje sasa
Injili gani? Mahubiri ya kukomboa ardhi, nyayo, kuvunja miti ya ukoo, kuvunja laana n.k ndiyo injili hiyo?? Mafundisho ya kishetani hayo. A total nonsense. Huo siyo ukristo ni upumbavu wa hali ya juu na utapeli
 
Back
Top Bottom