Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
Mchungaji uombewa na waumini pia Panakuwa na timu ya maombi ya kumuombea Mchungaji asiaanguke.Swali zuri
Je na yeye mchungaji dalali wake ni nani wakati anataka kuombewa?
Inaenda tu ukisipo waza pesa na kuingiza tamaa ya pesa first Mbona injili inaenda tuInjili bila pesa itaendaje sasa
Sadaka na zaka ni Wizi.
Dini ni Utapeli.
Toa KKKT hapo maana huko kumejaa mafisadi na wapenda anasaSadaka kutoa kwenye makanisa kama RC, KKKT,SDA inajulikana inapoenda.
Kutoa Sadaka kwa Gwajima, Mwamposa ni kupoteza pesa zako
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Injili gani? Mahubiri ya kukomboa ardhi, nyayo, kuvunja miti ya ukoo, kuvunja laana n.k ndiyo injili hiyo?? Mafundisho ya kishetani hayo. A total nonsense. Huo siyo ukristo ni upumbavu wa hali ya juu na utapeliInjili bila pesa itaendaje sasa