Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

yako kwa maana ya kuileta hapa sio kuimiliki!..

kipi kinakupa hakika kuwa hizo contradiction ni sifa zake ambazo zina prove kutokuwepo kwake,bila kuangalia upatikanaji wake..??

Unajua "the problem of evil" ni nini?
 
Itakuwa hivyo.
 
Msaada wowote anaoweza kukupa Mungu ni Confidence..., ndio maana hata wanaokwenda kwa Mizimu, wanaoamini lucky charms n.k. wanafakiwa...

In short kila kitu ukikifanya kwa kanuni zake utafanikiwa, tena kama unashinda umepiga magoti na kuomba badala ya kufuata kanuni za hicho kitu huenda ikawa detrimental na sio beneficial
 
Kukosa kulijua neno ndio kunako kuangamiza,ungelijua neno lingekuweka huru...
 
Bora uamini Mungu yupo na asiwepo.kuliko tuseme hayupo na umkute mbinguni ndugu yangu..,hata kama unapitia magumu kiasi gani usiache kumshukuru Mungu kwa Kila unalopitia
Mungu yupo na ni mmoja tu
 
 
Bora uamini Mungu yupo na asiwepo.kuliko tuseme hayupo na umkute mbinguni ndugu yangu..,hata kama unapitia magumu kiasi gani usiache kumshukuru Mungu kwa Kila unalopitia
Mungu yupo na ni mmoja tu
Kwahiyo nawe unamwamini kwa mashaka?
 
L
Labda.
 
Unajua "the problem of evil" ni nini?
naelewa na naelewa pia contradictions kibao zimuhusu huyu Mungu wa kwenye hivi vitabu!..
na huku nilikutoa huku kwa kukuuliza "unaelewa mtu akikuambia nadharia ya Uungu..?"
swali ambalo hukulijibu! ungejibu hapa ndo ungeelewa nataka kuandika nini.
 
Hiyo neema ya pumzi ambayo unayo ni neema tosha na upendo wake wangapi wameikosa tumia muda huu kutubia na sio kukufuru

Kweli nime amini masikini ni mwepesi kukufuru kuliko tajiri
 

Hili tu la kusema Mungu hana msaada yako limefanya uyapate hayo yanayo kupata.
 
Mkuu pole sana kwa magumu unayopitia, situation kama yako ilishawahi kunikuta, lakini Mungu atabaki kuwa Mungu tu hata asipotenda unavotaka. Ila usifike hatua ya kutokumwamini.
 
Mungu hayupo mkuu. Jipange mwenyewe kuishi na wengine tu.

Tusaidiane wenyewe, kwa sababu Mungu hayupo, hivyo hawezi kutusaidia.

Ukielewa hili, utajibu maswali mengi sana.
Du kwa jinsi ulivyotokeza humu ni kama nzi wanavyotokeza kwenye mavi bila mnyaji kujua inzi wametokea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…