Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Unataka pesa labda, lakini moyoni una doubt kibao, hivi nitatoboa kweli?, sidhani kama nitaweza?, sijawahi ona Fulani akifanya hivi? etc Kwa doubt hizo hutoboi, lazima ujiamini kuwa unaweza kufanya jambo likawa, yaani huyo mungu haiwezi saidia Kwa yoyote yule asiyefanya bidii yenye akili, Ili uipate bahati lazima na wewe ujiandae kwelikweli Ili ikukute tayari uko na maandalizi, kwani toka tuzaliwe tumechezea fursa na bahati ngapi Kwa kuwa tu hatukujiandaa, inua makalio hayo nenda katumie akili yako tukufu kujineemesha, Tanzania ina wapumbavu na wajinga wengi hivyo ni afueni kutoboa.
 
Kwa hiyo unakubali kuna vitu tunaweza kuvijua kimantiki bila kufanya utafiti ulimwengu mzima?

Tunaweza kujua tupo bila kufanya utafiti ulimwengu mzima.

Tunaweza kujua 1 ni ndogo kuliko 2, bila kufanya utafiti ulimwengu mzima.

Sawa?
 
Kwa hiyo unakubali kuna vitu tunaweza kuvijua kimantiki bila kufanya utafiti ulimwengu mzima?

Tunaweza kujua tupo bila kufanya utafiti ulimwengu mzima.

Tunaweza kujua 1 ni ndogo kuliko 2, bila kufanya utafiti ulimwengu mzima.

Sawa?
tunatumia mantiki kutokana na sifa y kitu husika, binadamu utaanza kumtafuta maeneo ambayo unajua anaweza kupatikana ila Mungu nae atatafutwa kutokana na sifa zake nini kama anaweza kupatikana ktk mazingira yoyote.. ukisema tu tufate hivyo unavyosema vipi akiwa yupo ambapo wewe unafikiri hawezi kuwepo kumbe sifa zake zinamruhusu yeye kuwepo hapo!..

huoni ukijifunika kwenye hiyo mantiki moja utakosa jibu la hakika...??
 
ukila ukashiba usimkufuru Mungu
 
Mi siwezi kufuru nimepitia mitihani ya kila namna mpka nikawa namtukana matusi ya nguoni nikapata mtihani mkubwa nikapoteza mwelekeo kwa magonjwa ,,,baadae nikaona nikainuliwa kwa hali nisio ijua ,,pesa Zikaanza upya ,kazi zinanifata zenyewe , kwakweli Mungu yupo,,, kwahiyo ni majaribu tu ili uamuke kiroho na kujitambua , kingine usimukufuru MUNGU kwa matatizo ambayo umesababishiwa na binadamu mwenzako angalia plan b,,,,japo mi sikwenda kwa mganga niliona mambo yanajiseti yenyewe tu yaani hapo baada ya kukimbiwa hata na ndugu akiwemo mama ngu
 
Sawa.

Umesema Mungu anatafutwa kwa sifa zake.

Nimeanza kwa kusema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote huyu hayupo.

Tunaweza kujua hilo kwa kuangalia the problem of evil.

Hatuhitaji kufanya utafiti wa ulimwengu wote kujua huyu hayupo.

Umeelewa? Umekubali?
 
[emoji419][emoji375]
 
najua miungu ipo mingi na mimi siamini yoyote ila nadharia ya Uungu ama Umungu naielewa!..
hivyo wewe umetumia mantiki yako kukanusha kwamba Mungu huyo hayupo ni sawa kwa mantiki yako na uelewa wako lkn haitoi jibu completely kuwa hayupo!.


vipi unaelewa mtu akikuambia nadharia ya Uungu..?
 
Kwanza kabisa, sijatumia mantiki yangu.

Mimi sina mantiki.

Problem of evil inaonesha Mungu hayupo kwa contradiction.

Contradiction si mantiki yangu.

Ni mantiki iliyokuwepo maelfu na maelfu ya miaka kabla sijazaliwa.

The problem of evil imetajwa na Epicurus maelfu ya miaka kabla sijazaliwa.

Hii si mantiki yangu.

Hii ni mantiki.
 
yako kwa maana ya kuileta hapa sio kuimiliki!..

kipi kinakupa hakika kuwa hizo contradiction ni sifa zake ambazo zina prove kutokuwepo kwake,bila kuangalia upatikanaji wake..??
 
Sio peke yako ambaye Mungu hana msaada kwako, hiyo ndio hali halisi kwa wote.

Utofauti wako na watu wengine ambao unawataja kama Mungu anawasaidia nikwamba wao ni watumwa wa imagination.

Hata ikitokea jirani yake amempa msaada wa chochote ila kwakuwa amekuwa mtumwa wa imagination hatoona utu wa huyo mtu na badala yake atasema tu ni Mungu kamsaidia kupitia jirani.
 
Ulifanyeje?
 
K
Unaungana na Mimi kuwa Mungu hasaidii kwa chochote tusimuombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…