Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao hawapo Tanzania!
Ukweli ni kwamba vijana wamechoka ufisadi, utekaji na unyimaji haki wa CCM na Samia. Watu walidai watwekaji wa CCM na Chadema kama Mdude na Polepole. Chaguzi fake matokeo fake na tuna Raisi sasa fake.