Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Ila waislamu Yani vitabu vyenu Eti Kuna mpaka uongo mmeweka ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiko ndicho kitu huwezi kutumia tafsiri ya quran kua ndio reference ili kuepusha machizi kama nyinyi kutumia hadithi za uongo kama ndio reference zenu

Hua tuna tumia maneno ya kiarabu yenyewe sisi hua tunasoma

Ili kusije tokea vituko kama vya kwenye bibilia hakuna msahafu utaandikwa kwa kiswahili tu au lugha nyingine tu na ya asili isiwepo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ila waislamu Yani vitabu vyenu Eti Kuna mpaka uongo mmeweka ,😂😂😂😂
Sasa utatufananisha sisi Waislamu na nyinyi ? Soma Biblia yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho hakuna uhakiki wowote mlio ufanya na kuuanisha zaidi mmejaza matusi na uongo na uzandiki mwingi na mmeukalia kimya.

Japokuwa wapo baadhi ya wasomi wa vitabu vyenu wameanza kuzinduka na kukosoa ujinga na uongo ulio andikwa kwenu.

Kwetu sisi tunajua kipi sahihi na kipi dhaifu na kipi kimezuliwa na tunawaambia kabisa hiki Cha uongo na sababu tunatoa.
 
Relax zipo za kutosha
  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Sasa shida hapo Iko wapi katika hiyo Hadithi ? Naam jua kinasujudu kama alivyo sema Mtume.

Nikuulizie swali mjinga wewe. Jua linapozama huwa linaenda wap iau linakuwa wapi ?
 
Punguza makasiriko na waelimishe kina professional Driver waamini Jua linazama kwenye maji

  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
 
Kwetu sisi tunajua kipi sahihi na kipi dhaifu na kipi kimezuliwa na tunawaambia kabisa hiki Cha uongo na sababu tunatoa.
Mlikuwa wapi mpaka vitabu vyenu vikaingizwa uongo, na mpaka Leo uongo upo ndani ya vitabu vyenu
 
Na hiko ndicho kitu huwezi kutumia tafsiri ya quran kua ndio reference ili kuepusha machizi kama nyinyi kutumia hadithi za uongo kama ndio reference zenu
Uongo mmeandika waislamu moatengeneza kitabu mkaweka uongo mkasambaza Dunia nzima wasome , wakisona na kurejea mnasema wanarejea uongo
Dini ya machizi 😂😂😂
 
Nikuulizie swali mjinga wewe. Jua linapozama huwa linaenda wap iau linakuwa wapi ?
Nikuulize swali kwa mujibu wa Allah Jua lipo moja au zaidi ya moja ?

Maana Allah anasema tusipo liona Yani usiku maana yake limeenda kwa Allah kusujudu
 
Punguza makasiriko na waelimishe kina professional Driver waamini Jua linazama kwenye maji

  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Yani Wewe ni zaidi ya machizi

Tulicho kua tuna kukanya ni kutoa hadithi dhaifu na kuzifanya sahihi

Fungua uzi ukiwa na hadithi sahihi urudi hapa tujadili

Naona unarukaruka tu hadithi kibao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uongo mmeandika waislamu moatengeneza kitabu mkaweka uongo mkasambaza Dunia nzima wasome , wakisona na kurejea mnasema wanarejea uongo
Dini ya machizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Bibilia ndio upumbavu zaidi imefikia wakati mpaka mzungu mkamfanya ndio Mungu
Mnamdundika shingoni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Punguza makasiriko na waelimishe kina professional Driver waamini Jua linazama kwenye maji

  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
    Vol. 6, Book 60, Hadith 326
we punguani kweli sasa hapo shida iko wap?
Ni jua kwenda kusujudu ama kitu gan??😏
Halafu hayo maneno ulosema, “Jua linazama kwenye maji” sijayaona kwenye hiyo hadithi uliotoa.
ACHA KUONGEZA VITU AMBAVYO HAVIPO ku-justify ujinga wako, unaonekana Juha tu 🤪
 
Ata utukane , haisaidii mwisho wa siku Allah kasema jua linaenda kusujudu, Yani Tanzania ikifika usiku jua limesepa kusujudu 🤣 , ndio nakauliza kwa mujibu wa allah jua lipo moja au zaidi ya moja?
Pia jua linaenda kusujudu kwenye kiti cha Allah na chini ya kiti cha Allah kuna maji , hii maana yake jua litakua lipo kwenye maji tunamaliza kibabe

Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
 
Sasa kama yesu alizaliwa bila baba unshangaa nin mtu kuwa na maarifa bila kwenda shule.Kingine elim ni pana sana na sehem toyote anayojipatia mtu elim panaitwa shulen.

Mohammad alipata elim pangoni na sehem nyingine huku mletaji elim akiwa malaika.

Kama kuna swal uliza.
sishangai maarifa kama vile yapo, ni kwamba maarifa ni ya uongo.
 
Back
Top Bottom