professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Na hiko ndicho kitu huwezi kutumia tafsiri ya quran kua ndio reference ili kuepusha machizi kama nyinyi kutumia hadithi za uongo kama ndio reference zenuIla waislamu Yani vitabu vyenu Eti Kuna mpaka uongo mmeweka ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hua tuna tumia maneno ya kiarabu yenyewe sisi hua tunasoma
Ili kusije tokea vituko kama vya kwenye bibilia hakuna msahafu utaandikwa kwa kiswahili tu au lugha nyingine tu na ya asili isiwepo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app