professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Na hiko ndicho kitu huwezi kutumia tafsiri ya quran kua ndio reference ili kuepusha machizi kama nyinyi kutumia hadithi za uongo kama ndio reference zenuIla waislamu Yani vitabu vyenu Eti Kuna mpaka uongo mmeweka ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udhaifu unao wewe ila Hadith ni sahih na chain yake inafika kwa muhammadSafi ya kwanza ushakubali udhaifu wake
Sasa utatufananisha sisi Waislamu na nyinyi ? Soma Biblia yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho hakuna uhakiki wowote mlio ufanya na kuuanisha zaidi mmejaza matusi na uongo na uzandiki mwingi na mmeukalia kimya.Ila waislamu Yani vitabu vyenu Eti Kuna mpaka uongo mmeweka ,😂😂😂😂
Sasa shida hapo Iko wapi katika hiyo Hadithi ? Naam jua kinasujudu kama alivyo sema Mtume.Relax zipo za kutosha
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Punguza makasiriko na waelimishe kina professional Driver waamini Jua linazama kwenye majiSasa shida hapo Iko wapi katika hiyo Hadithi ? Naam jua kinasujudu kama alivyo sema Mtume.
Nikuulizie swali mjinga wewe. Jua linapozama huwa linaenda wap iau linakuwa wapi ?
Mlikuwa wapi mpaka vitabu vyenu vikaingizwa uongo, na mpaka Leo uongo upo ndani ya vitabu vyenuKwetu sisi tunajua kipi sahihi na kipi dhaifu na kipi kimezuliwa na tunawaambia kabisa hiki Cha uongo na sababu tunatoa.
Uongo mmeandika waislamu moatengeneza kitabu mkaweka uongo mkasambaza Dunia nzima wasome , wakisona na kurejea mnasema wanarejea uongoNa hiko ndicho kitu huwezi kutumia tafsiri ya quran kua ndio reference ili kuepusha machizi kama nyinyi kutumia hadithi za uongo kama ndio reference zenu
Nikuulize swali kwa mujibu wa Allah Jua lipo moja au zaidi ya moja ?Nikuulizie swali mjinga wewe. Jua linapozama huwa linaenda wap iau linakuwa wapi ?
Yani Wewe ni zaidi ya machiziPunguza makasiriko na waelimishe kina professional Driver waamini Jua linazama kwenye maji
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Bibilia ndio upumbavu zaidi imefikia wakati mpaka mzungu mkamfanya ndio MunguUongo mmeandika waislamu moatengeneza kitabu mkaweka uongo mkasambaza Dunia nzima wasome , wakisona na kurejea mnasema wanarejea uongo
Dini ya machizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Fungua uzi wake.Nikuulize swali kwa mujibu wa Allah Jua lipo moja au zaidi ya moja ?
Maana Allah anasema tusipo liona Yani usiku maana yake limeenda kwa Allah kusujudu
Uzi huu tunaongelea Jua kuzama , sasa nafungua mwingine wa Nini , wewe jibu swali
we punguani kweli sasa hapo shida iko wap?Punguza makasiriko na waelimishe kina professional Driver waamini Jua linazama kwenye maji
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326
Ata utukane , haisaidii mwisho wa siku Allah kasema jua linaenda kusujudu, Yani Tanzania ikifika usiku jua limesepa kusujudu 🤣 , ndio nakauliza kwa mujibu wa allah jua lipo moja au zaidi ya moja?we punguani kweli sasa hapo shida iko wap?
Ni jua kwenda kusujudu ama kitu gan??😏
Halafu hayo maneno ulosema, “Jua linazama kwenye maji” sijayaona kwenye hiyo hadithi uliotoa.
ACHA KUONGEZA VITU AMBAVYO HAVIPO ku-justify ujinga wako, unaonekana Juha tu 🤪
sishangai maarifa kama vile yapo, ni kwamba maarifa ni ya uongo.Sasa kama yesu alizaliwa bila baba unshangaa nin mtu kuwa na maarifa bila kwenda shule.Kingine elim ni pana sana na sehem toyote anayojipatia mtu elim panaitwa shulen.
Mohammad alipata elim pangoni na sehem nyingine huku mletaji elim akiwa malaika.
Kama kuna swal uliza.
Kama ilivyo kuzaliwa kwa yesu bila baba ni uongo siosishangai maarifa kama vile yapo, ni kwamba maarifa ni ya uongo.
Haya lete hadithi inayo lingana na ayaUzi huu tunaongelea Jua kuzama , sasa nafungua mwingine wa Nini , wewe jibu swali
Kuna swali hujajibu
Wakati wewe umeshindwa kujibu maswali yote ulio ulizwa lkn bado unaendelea kuuliza ili ujibiwe weweKuna swali hujajibu
Chini ya kiti cha allah kuna maji au hakuna maji?
Swali dogo tuWakati wewe umeshindwa kujibu maswali yote ulio ulizwa lkn bado unaendelea kuuliza ili ujibiwe wewe
Lete hadithi inayo lingana na aya
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app