Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Kiti Cha Allah ni physical na Allah ni physical
Hebu tupe sifa ya hicho kiti cha enzi (arshi) cha Allah,
kinafananaje?
kikoje?
kimetengenezwa kwa material gan?
Kina rangi gani?
Kipo wapi?
 
Hizo sifa hazipo , Allah na muhammad wamesema ni kiti basi wakaishia hapo
 
LETA AYA AU HADITHI INAYOONYESHA HICHO UNACHODAI NI KITU CHA KUENDELEA- PRESENT CONTINUOUS TENSE.
The Prophet (ﷺ) said, "The Right (Hand) of Allah Is full, and (Its fullness) is not affected by the continuous spending night and day. Do you see what He has spent since He created the Heavens and the Earth? Yet all that has not decreased what is in His Right Hand. His Throne is over the water and in His other Hand is the Bounty or the Power to bring about death, and He raises some people and brings others down." (See Hadith No. 508) Sahih al-Bukhari 7419
 
MPAKA SASA HUJATOA AYA INAYOTHIBITISHA MADAI YAKO. UMEISHIWA HOJA.
ULICHOBAKIZA NI UBISHI TU NA UPUUZI.
Nimeshahitimisha kwa Hadith ya bhukar kiti kipo juu ya maji hukana Cha past wala future
Niwashauri wewe na professional Driver msome Sana maandiko yenu niliaacha mjae upepo ili niwalipue
 
Hizo sifa hazipo , Allah na muhammad wamesema ni kiti basi wakaishia hapo
Basi usiweke dhana, ukadhani ni kama kiti chako unachokalia ghetto .

Quran 2:255-“…………..His throne (Kursi) extends over the heavens and the earth and He feels no fatigue in guarding and preserving them. And He is the most High, the Most Great “
 
Nimeshahitimisha kwa Hadith ya bhukar kiti kipo juu ya maji hukana Cha past wala future
Niwashauri wewe na professional Driver msome Sana maandiko yenu niliaacha mjae upepo ili niwalipue
Huna uwezo wa kuniambia mimi nisome wakati ulicho nacho sio sahihi mbaya zaidi unasema hakuna cha past wala present ukahitimisha. Kwa matakwa yako umeonesha namna mume wenu alivyo wafundisha wenda wazimu nanyi mkajaa kweli nazid kukubali kua ukristo ni dini ya wapumbavu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huna uwezo wa kuniambia mimi nisome wakati ulicho nacho sio sahihi
Bhukar nae amekuwa sio sahih 😂😂😂

The Prophet (ﷺ) said, "The Right (Hand) of Allah Is full, and (Its fullness) is not affected by the continuous spending night and day. Do you see what He has spent since He created the Heavens and the Earth? Yet all that has not decreased what is in His Right Hand. His Throne is over the water and in His other Hand is the Bounty or the Power to bring about death, and He raises some people and brings others down." (See Hadith No. 508) Sahih al-Bukhari 7419
 
KILA SIKU TUNAWAAMBIA HUU MKITABU UMEANDIKWA NA JESUIT + VATCAN + SHETANI + MUDI.

Hivi kama kitabu kimeiba character kwenye bible.
Habari zote za akina Daudi, suleman, Adam, Hawa ,
Hawa wote Waliishi Yerusalemu.
SIO MAKA WALA MADINNA.

1. Quran inawaandikaje watu WALIOISHI Duniani.

2.Quran inaibaje watu WALIOISHI Yerusalemu na kujifanya wameishi Maka na Madina.
 
Nikikwambia uniletee matini yake kwa lugha ya kiarabu halafu unionyeshe hiyo “is” utaweza?
Kitu ambacho hujui ni kwamba, mwingine angeweza fasiri na kuweka neno “was” badala ya “is” kwenye hiyo hiyo hadith.

Na kuna hadithi nyingi tu wamefasiri kwa kutumia “was”. Nikisema niziweke hapa tutajaza server bure.
Mfano👇

Narrated Abu Huraira;
Allah’s apostle said,
“Allah said, ‘spend (o man) and I shall spend on you.” He also said, Allah’s hand is full and (its fullness) is not affected by the continuous spending night and day”.
He also, said, “Do you see what He has spent since He created the heavens and the earth?
Nevertheless, what is His hand is not decreased, and His throne was over the water and in His hand there is balance (of justice) where by He raises and lowers (people)”.
Sahih-Al bukhar vol.6. Book 60, Hadith 206.

Hivyo, turudi kwenye Quran kuondoa mzizi wa fitna, UTOE AYA KUONYESHA ARSHI OF ALLAH IS STILL ON WATER.
 
😂😂🤣🤣😂🤣🤣 Nimemaliza kazi , wewe endelea na ku edit maandiko yenu unavyotaka

Nime edit andiko lipi?
Nitajie neno la kiarabu lilotumika kwenye hiyo hadith kumaanisha “is” kwenye hiyo hadith ulotoa 🤔
 
Ingia hapa kwa waislamu walioweka is kawaambie waondoe waweke was , Mimi nimeshamaliza kazi yangu imebaki wewe ku edit maandiko yenu

Gusa link ka edit
 
😂😂🤣🤣 Mnapinga kwa nguvu zote upo tayari mpaka kubadili andiko ili tu Allah asiwe juu ya maji , tatizo Nini au atazama 😂😂😂
 
Hahaha! hiyo ndio shida ya copy and paste na kujifanya mjuaji 😀📌📌
 
Ingi humo ni ndugu zako nenda kwenye maoni waambiwe watoe is waweke was watakusikiliza kesho itakuwa tayari wamebadili
 
😂😂🤣🤣 Mnapinga kwa nguvu zote upo tayari mpaka kubadili andiko ili tu Allah asiwe juu ya maji , tatizo Nini au atazama 😂😂😂
Wapi nimebadili andiko, umetoa tafsiri ya kiingereza. Mi nimekuomba tu kiaarabu chake unionyeshe hiyo “is”. Unaanza kuruka 😀
 
Nimekuwekea link ya waislamu, ingia nenda sehemu ya contact, wambie wamekosea kiaarabu is inatakiwa iwe was watakusikiliza by tomorrow watakuwa wamebadili , Mimi kesho nikiingia humo nitakuta is imeshawekwa was
 
Ndo ukome ku-copy & paste kwa kitu ambacho huwezi kukitetea.
ww si ndio umetoa huko?
Nionyeshe hilo neno “is” tu..
Hujui lugha yake ya asili
halafu wajikuta much know…
TULIZA MSHONO 😀.
 
KILA SIKU TUNAWAAMBIA HUU MKITABU UMEANDIKWA NA JESUIT + VATCAN + SHETANI + MUDI.

Hivi kama kitabu kimeiba character kwenye bible.
Habari zote za akina Daudi, suleman, Adam, Hawa ,
Hawa wote Waliishi Yerusalemu.
SIO MAKA WALA MADINNA.

1. Quran inawaandikaje watu WALIOISHI Duniani.

2.Quran inaibaje watu WALIOISHI Yerusalemu na kujifanya wameishi Maka na Madina.
Mumeo anakwita

Back
Top Bottom